paka akiondoka panya hutawala!

paka akiondoka panya hutawala!

Taarifa za kiintelijensia zinasema leo hii kutwa nzima Erickb52 ameonekana busy na magudulia ya maji anazima moto Nairobi.
Chocs mpenzi siku nyingi unajua nakuzimia,saa ya ukombozi ni sasa,okoa roho yangu kwenye mateso kabla hawara yako hajarudi.Usikonde siri yetu nitaitunza kama Nyerere alivyotunza siri ya muungano.
Nasubiri jibu lako fasta......tuma kwa PM hapa wanga wengi wakiongozwa na Lady doctor na genge lake la masukununu hawakawii kuwatonya mapatina wetu mwisho kisanuke.
Halafu Bishanga usinizoee shauri yako...nitakukata hiyo unachokining'iniza kwa mbele ndio ufunge mdomo wako ooooh
Nishakuambia achana na mai wife Chocs husikii na ukiniona nimerudi kwa The secretary ujue MIMBA ya MAPACHA hakosi safari hii.
Chocs mpenzi leo nanenane....tuonane jioni kule kwa siku zote kwa ajili ya kupumua kwa speed. sawa mke wangu eeh
 
Last edited by a moderator:
No worries husband wa ukweli...nakupenda zangu miye

Umemouna huyo anayejiita bepari eeeh

Back
Top Bottom