paka akiondoka panya hutawala!

paka akiondoka panya hutawala!

Mburaa yani unanisarandia kweupe namna hii

Polisi kamata mwizi meen Erickb52 kuja pande hii, nlikwambia huyu bwana anantongozaga sasa shuhudia mwenyewe Bishanga huu mtongozo haukubaliki ng'oo.

Taarifa za kiintelijensia zinasema leo hii kutwa nzima Erickb52 ameonekana busy na magudulia ya maji anazima moto Nairobi.
Chocs mpenzi siku nyingi unajua nakuzimia,saa ya ukombozi ni sasa,okoa roho yangu kwenye mateso kabla hawara yako hajarudi.Usikonde siri yetu nitaitunza kama Nyerere alivyotunza siri ya muungano.
Nasubiri jibu lako fasta......tuma kwa PM hapa wanga wengi wakiongozwa na Lady doctor na genge lake la masukununu hawakawii kuwatonya mapatina wetu mwisho kisanuke.
 
Last edited by a moderator:

Shindwa pepo!!!
 
Last edited by a moderator:
Haki ya nani wadudu washaanza kula ubongo wake khaah!!!

Juzi msamaha... jana sitaki sema ilikuwaje... leo tena mimi...kaazi kwelikweli

chocs kuwa makini mamito Bishanga afya yake haieleweki atii,,,,,,, we ujiulizi ni kwanini aliyakimbia majibu siku ile walivyoenda kupima na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom