Paka akifanya mchezo anabanwa

Paka akifanya mchezo anabanwa

Awww! That's love....
Nimependa kumuona Paka katikati yao huyu mnyama jamaniii nampenda sanaaaaaaaa.
The same too nampenda sana,kuna jirani yangu alimpa sumu tulimzika kwa heshima na machungu sana.
Ngrrngrrrngrrr nice sound..
 
wewe ndio huyo uliyelala hapo? Unatumia simu gani? unakaa mkoa gani wa mbali?
 
Haswa huyo, alikuwa anafugwa lakini alikula njiwa zaidi 30 mpaka mfugo ukafa.
Ukitaka Paka asirudie kosa mchukue hadi eneo la tukio mfano amefanya haja kubwa ndani mnyanyue Kwa kumshika ngozi ya juu ya shingo na kumpeleka hadi kwenye kinyesi chake mnusishe mchape sio kama inaua mwizi Ila onyesha kutofurahia alichokifanya usimshushe toka naye nje muonyeshe sehemu inayomfaa kwa kunusisha halafu mwachie hanyi tena ndani na akirudia Fanya hivyo hivyo, pia hata kama anakula vifaranga njia ni hiyo hiyo. Usimpige bila kimuonyesha kosa hata elewa mtaishia kuchukiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paka anapenda raha sehemu yenye utulivu tu hata uki mpangusa taratibu kwenye mgongo anahisi raha yaani
 
Back
Top Bottom