Pajue Iringa kwa kupitia picha

Safi Iringa na mbeya ni ulaya ya Tanzania napapenda sana , na makazi yangu ya kula uzee nimeyaweka huko Iringa misituni🤣🤣 ngoja nisake tu mtoto mzuri nifie kinenani kwake huko iringa ERoni 🤣🤣
Iringa ni pazuri sana mkuu, nilisoma huko zamani..hali ya hewa ni kama ulaya tu.
 
Mkuu punguza kusema ukweli huyo ni mwenetu ujue🤔
Amenishangaza kutueleza kwamba "Kulilinga" ni linear settlements!Tour guide wake huwa hampeleki kushoto ndanindani wala kulia machimboni.Kwa kumbukumbu zangu,nimepita Iringa mwaka 72 na nilifurahi kuona kuanzia punda, pundamilia hadi pundawaliaji.Sasa yeye ni mkosa-macho au mkosa-mali?
 
Komenti nambari 43 says it all in general.
 
Basi kweli iringa hupajui aisee. Yan iringa iliyojaa watalii vile pakakosekane hoteli kali?? Hujawah hata kuisikia Sea view? Uliza akina Geofrey Mungai au akina masit au Hanspope au akina shambe upewe taarifa za mahotel yao iringa.
Fika gangilonga huko au wiloles .
 
72 shikamoo bro😁
 
Pale pale center town au nje ya mji kidogo?
 
Pale pale center town au nje ya mji kidogo?
HAwa akina Shambe familiy wana hotel kali 2 ziko centre baada ya kumaliza mshindo.
Huyu Geofrey Mungai ana zinga la dude liko Wilolesi huko ni nje ya centre.
Huyi Masit ana kitu hatari pande za Gangilonga.
Hanspope ana dudel lake centre mkabadala na Crdb bank karibu na ccm mkoa.
 
Sae Villa,Mount Royal,Alexander Hotels,Queen Esther,Sunset,Hilltop and all mazagazaga hakuona?Aniambie tu nitoke huku Bweri Musoma nije nimfanyishe utalii kwa Mwagongo,Mahaba niue, Bampa to Bampa,Hagafilo, Mwembechai,Ubena kilabu,Nzalalila,Mapanda au kwa Nzigilwa ndiyo panamfaa. NO WAY!
 
Umenikumbusha mbali sana 1998
 
Isoka nilikaa Karibu na machinjio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…