comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,940
Wengine ni kipawa wengine wanatumia ile short cut
Daah sawa mkuu ,nini kitasababisha hilo jicho la tatu lisiwe na nguvu ya maono?
Wengine ni kipawa wengine wanatumia ile short cut
Taka taka na makandokando ya kidunia kama kutoelimika starehe nk
,,, mkuu hizi nyuzi zimeshiba haswaaaahh!!!
Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.
Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.
1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus
Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.
2. Mathematics
Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.
3. Tahjud (Meditation)
Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.
4. Baptism & Sijda
Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..
Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.
5. A kiss on the Forehead
Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.
6. FREEMASONRY
Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu
7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)
Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.
8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.
Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.
Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.
Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.
Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.

Mtu anasehemu tatu ana mwili..(physical body) and Moyo (hapa sio moyo wa damu rather akili-subconcious mind) na roho(spirit-ambayo ni presence of God)Swali nje ya topic Mshana Jr. ... unawezaje kujua kama umefanyiwa chuma ulete kwenye chakula au hela?
Unajinasuaje kwenye chuma ulete?
Back to the topic: hii jicho la tatu linahusiana na maono? Hisia kuwa huyu mtu si mzuri au huyu mtu ni mwema? Au zinahusiana na utambuzi wa mambo?
Kuna kipindi huwa inanitokea niko ndotoni napambana na nguvu ambayo nimeitambua kuwa ni nguvu mbaya au za giza. Jinsi ninvyopambana ile nguvu ya upande wa pili inakuwa inanizidi nguvu kwa kupigana inakuwa ni vuta nikuvute kama mieleka au kukabana.
Mara inanijia sauti anza kusali anza kusali na ukemee usipigane hizo nguvu zitakimbia.....
Naanza kusali na kusali nakemea na kukemea zile nguvu zinakuwa kama zinaishiwa nguvu na zinaanza kujiondoa kwangu na kuweka gap kati yetu. Ila mara zinarudi na kunionesha kuwa haziogopi maombi na kama inakuwa inanishiria niachane na hayo maombi maana hayatasaidia mimi kutoka kwenye zile nguvu za giza.
Ila sauti nyingine hainiombei bali inaniambia sali kwanguvu usimsikilize wala usimuangalie wee sali tuu. Nikiendelea kusali woga unaniisha na najiwa na nguvu zaidi na naendelea kusali.
Sasa ishanitokea mara kwa mara nakuwa nasali kwenye ndoto hadi nastuka nakuwa macho na najikuta niko katikati ya sala na nakuwa sina mamlaka au utashi wa kunyamaza. Naendelea kusali hadi ile nguvu iniishe kisha aidha usingizi utakata kabisa au utanipitia baadae.
Waweza nisaidia hapo kuna lolote ambalo nafunuliwa ila sijalitambua. ..... jicho la rohoni linahusika hapo?
Unaweza kuepuka kulala chali? Kila napolala kifudifudi lzm naposhtuka nakuwa chali
Ufafanuzi kidogo itapendeza, nimejaribu sana ili kuepuka nightmares lkn imebidi nizoee tuNi mpaka training
Kabla sijaenda Buddhist college nilikuwa nalala hovyo lakini tukafundishwa kulala mshazari ni ngumu mwanzoni lakini inahitaji kujizoezaUfafanuzi kidogo itapendeza, nimejaribu sana ili kuepuka nightmares lkn imebidi nizoee tu
Inakuaje baadhi ya mambo ya ndotoni baada ya muda kupita yanatokea yani parts za matukio ya ile ndoto, km de javu flani hiviKabla sijaenda Buddhist college nilikuwa nalala hovyo lakini tukafundishwa kulala mshazari ni ngumu mwanzoni lakini inahitaji kujizoeza
Zina faida gani? Maana kuna muda zinanivua confidence kabisa inabidi kukwepa kusinzia hadi kunakucha.Zinaitwa vivid dreams, ndoto halisi ndoto za matukio halisi