Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Sawa,ila wasisahau pia kujenga na makanisa maana naona imeshakuwa tabu sasa...
 
Serikali ijenge na Mikuyu na Mibuyu kila stesheni il na waabudu mizimu nao wapate pakuombea
 
Tunaiomba serikali ipande miti ya mibuyu Kila kituro Cha SGR Ili na sisi wapagani tupate sehemu ya kufanyia matambiko kabla ya safari
🙏

Safi sana, wazo zuri kwa sisi watu wa dini za kiAsili
 
Back
Top Bottom