and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Sambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria.
Nyumba za kuabudia sio jukumu la Serikali.Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Mamlaka gani?Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Kwahiyo na makanisa yajengwe na nani?Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Tunaiomba serikali ipande miti ya mibuyu Kila kituro Cha SGR Ili na sisi wapagani tupate sehemu ya kufanyia matambiko kabla ya safariSambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.
Ni kweli kabisa ijengwe misikiti na makanisa.Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Kanisa la nini? Wakristo kusali ni mara moja kwa wiki hamna haja ya kanisa, ndo maana hata mitaandi kanisa la Roma utakuta liko moja wilaya nzima, maana ibada siyo kila siku ni siku moja tu.Sambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.
Acha kuhangaika mzee hao mods wenyewe ndo wanatumia account zingine kutukana uislam kwahiyo usijichoshe
Kujusu RC unauhakika na unachokiongea ?Kanisa la nini? Wakristo kusali ni mara moja kwa wiki hamna haja ya kanisa, ndo maana hata mitaandi kanisa la Roma utakuta liko moja wilaya nzima, maana ibada siyo kila siku ni siku moja tu.
Mbona uko nyuma sana, hata sasahivi fatilia ulaya ni dini gani inakua kwa kasi ndo haohao waislam usiowatakaNinyi kobazi bila kudhibitiwa hii dunia tungesha silimishwa wote.
Acha Marekani🇺🇲 aendelee kutawala dunia tu.
Hebu vuta picha, Iran🇮🇷 ndio angekuwa super power wa dunia?
Watu wange silimishwa, by fire by force. 😂
Nchi yoyote ambayo ingegoma kusilimu, ingepigwa vikwazo vya kiuchumi.
Watu wangepigwa mabomu kabisa.
Sasa hivi hapa JF tungekuwa tunajadiliana kwa kiarabu.