Hamna pesa rahisi iwe mtaani au online 😸😸😸Utapoteza muda wako tu fanya kazi nyengine
Online pesa ipo ila uwe na fani sio tu kuangalia vidio Basi unapata hela! Huyu aende afatilie zipo site za kufanya kazi online lkn huko anapotea hayo mambo wengine toka 2017 huko tulijua tulisumbuka nayo mara refferal..🤣Hamna pesa rahisi iwe mtaani au online 😸😸😸
Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapoOnline pesa ipo ila uwe na fani sio tu kuangalia vidio Basi unapata hela! Huyu aende afatilie zipo site za kufanya kazi online lkn huko anapotea hayo mambo wengine toka 2017 huko tulijua tulisumbuka nayo mara refferal..🤣
Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapo
Usichokijua ni kuwa unakuwa unawatangazia bure wao kwa kusambaza link kila mahali uki expect hela kumbe ni scamsasa hivi kuna huu ujinga wa "mula empire " na "paymart" na vingine kama hivyo, vinaanzishwa na wakenya.
Yashaganikuta hayo ni michezo ya kipuuzi tu lkn ndo sehemu ya makuzi hayo lazima tupite huko..Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapo
Mie kwa sasa formula yangu ni moja tu, napiga kazi then napata ujira wangu, haya mambo ya ku-share huwa siyakubali mara eti mlete wa kulia na kushoto.Usichokijua ni kuwa unakuwa unawatangazia bure wao kwa kusambaza link kila mahali uki expect hela kumbe ni scam
Unaitolea wapi hiyoKama unataka vocha za bure kuna app inaitwa clipclap, unacheck videos alafu ina magemu mazuri unaplay
Unaenjoy na unajipatia salio la bure au unaweza kutoa kwa paypal.
Hii nna uhakika nayo 7bu napenda kucheza game za humo na nmeshawahi kucashout mara kibao kama airtime
Kucash out kama salio minimum10$
Kwa paypal 20$
Swali zuriUnaitolea wapi hiyo
Playstore/applestoreUnaitolea wapi hiyo
This app is legit paying but it's hard to earn. It really hard to earn dollar it takes almost half a year just to earn $10. Its mostly complicated to the people who can't do invite. And they have a poor customer service. Hope they can increase the dollar in the games and chest. Not all people can invite tons of people be considerate.Unaitolea wapi hiyo
hiyo ni review ya mtu mmojawapo huko
🤣🤣 Komenti fupi lkn inaujumbe mpana hizo sites jamani hata msiziwazie wakurungwa tushagahangaika tukarudi hamna kitu! Mara mia ukafanya forex ila nayo uijue ukienda bichwabichwa mtu anarudi kulia utapeli!Tatizo litakuja kwenye kutoa...
Hapo kwa paypal nachojua huwezi receive funds kwa Tanzania labda kama ni gift ambayo mwisho wa siku inabidi uifanyie manunuzi.Kama unataka vocha za bure kuna app inaitwa clipclap, unacheck videos alafu ina magemu mazuri unaplay
Unaenjoy na unajipatia salio la bure au unaweza kutoa kwa paypal.
Hii nna uhakika nayo 7bu napenda kucheza game za humo na nmeshawahi kucashout mara kibao kama airtime
Kucash out kama salio minimum10$
Kwa paypal 20$