chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,570
Hichi kitu kinanitatizaga sana ninapofungua page ya web flani zen unachagua kitu kwa Kukiclic inakudirect kwenye page nyingine ambayo ukudhamiria.
Tatizo hili nimeliona sana kwenye PC but nlikuwa naliepuka kwasababu Mara nyingi hiyo page itafunguka kwenye tab nyingine lakini nimeliona lipo sana kwenye Simu hizi za android mpaka nashindwa kufanya nlichokuwa nakusudia sometimes inakudirect kwenye Pray store.
Wataaramu wa mambo ya mitandao naombeni maelekezo kuhusu hili tatizo na njia gani za kuliepuka...ingawa lipo kwa baadhi website.