Mwandishi acha utapeli na ujinga!Si kila platform ni sehem ya kujaribu utapeli,acha kuchafua biashara ambazo wengine tunazifanya zionekane zipo kitapeli!Kwanza Tanzania hakuna sehemu wanapotengeneza oil based inspired perfume!Tunachokifanya tunaagiza oil kutoka FRANCE/DUBAI/ZANZIBAR/NAIROBI ama TURKEY/SOUTH AFRICA kisha tunahuisha oil hizo kwa kuziDILUTE na alcohol pamoja na fixative hasa wakati tunaunda perfume ya kupuliza.Perfume hizo tunaziweka kwenye chupa tupu ambazo tunaagiza China na chupa hizo ni very identical tofauti na chupa hizo ulizoweka kwenye picha(picha za chupa ulizoweka umedownload chupa za popular perfums designer brands)
Pili umeweka mpipa mkuuubwa ukaandika majina feki ya uongo eti LOOSE PERFUME(umejaribu kukopi kutoka kampuni maarufu inayotengeneza oil ya LUZI ulivyomjinga ukaandika LOOSE ili kupotosha)yaan dah.Hakunaga mapipa ya muundo huo kwenye oil perfumes(muundo wa namna hyo hauwez kutumika kuhifadhi oil perfume) muwe mnajielimisha kabla hamjaanza kutapeli watu.
Halafu unapotaka kuwaelimisha watu waambie changamoto pia za biashara hyo sio tu kuwaambia mazuri.Lakin kwakuwa unatapeli watu wew mwenyew haujui biashara hyo inachangamoto gani,,nadhan inachangamoto kali zaidi kuliko unavyodhan.Bila shaka ndio biashara yenye usiri mkubwa kuijua inside out hasa kwenye ingredients za utengenezaji wa perfume bora zaidi.Jambo moja tu ulilosema laukweli ni kwamba INAFAIDA kuubwa sana.
0769664221