snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Umeona eeh, ila ukikutana na conservative men, ndio watakuona malaya kwa kuenjoy sex na kutopretend that u r shy! LOL
vitakuwa havijamkolea huyo!
Umeona eeh, ila ukikutana na conservative men, ndio watakuona malaya kwa kuenjoy sex na kutopretend that u r shy! LOL
Siku ya kwanza sex inakuwa kama inaugural ceremony...
au siku ya kwanza shuleni,ulisoma hadi usiku wa manane?
si ulipiga tu story?
ndo hivyo hivyo.....
ahahhaaahah!eti inaugural ceremony?duh!
Siku ya kwanza sex inakuwa kama inaugural ceremony...
au siku ya kwanza shuleni,ulisoma hadi usiku wa manane?
si ulipiga tu story?
ndo hivyo hivyo.....
Ni kwanini wasichana wengi huvaa chupi nyeupi siku ya GAMU?
Nimekuelewa.
we unataka siku ya kwanza tu mtu amalie style zoote?
shurti mtu usave the best for last sio?NIMEKUBALI!
sasa Kaunga ndio karani wa sensa ulietembea nae?
au unaongea nini?
we hukunielewa.nimesema hao wa chupi nyeupe kwangu ni wengi, na hata marafiki wanasema hivyohivyo.ndio mana nikauliza pia
Kwani nilikuuliza kuhusu chupi? Kamjibu aliyekuuliza!
Kwa wasichana labda; wanawake sidhani!
Mpaka ufikie huko maana ushadate na mtu kwa siku kadhaa kama sio miezi. Mmeshakiss na mambo mengine kama hayo! I am past being nervous on 1st day, curios maybe but not nervous!
Unasubiri nini?na sisi tulio mabikra tena..taabu kweli kweli!