"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

Mtambuzi, ya kweli hayo ulikuwa unalaza kiporo??

Naona wangu wanapenda vitu vyeupe siku ya kwanza, kuanzia mapazia hadi kandambili.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilikuwa nalaza kiporo cha ubwabwa na maharage mezani na shuka hazifuliwi wiki nzima ili kumpima msichana wa siku kwanza... akimudu kuvumilia uchafu wangu, najua huyo tutawezana, na hapo baadae narudia hali yangu ya unadhifu kama kawaida, wengi walikuwa ananishangaa......

Mkuu kwema? . . . . . . . . . . . . .Bora ilikua nyakati hizo leo ungeishia kula kwa macho kama sie tusiokua na hela!
 
maisha tunataka kuyafanya magumu sana.

Do's and Don'ts zimekuwa kwa kila kitu.

Mwisho wa siku tunasahau kuwa maisha ya kijamii hayana fomula.

Kila mtu ana tabisa zake mara nyingine za ajabu sana.

Hapa tunasema watu wana aibu siku ya kwanza, kuna wengine siku ya kwanza ndio wanaonyesha makeke yote ili kuwavutia zaidi hao wapya.

Sometimes huwa naona tunakompliketi sana bila sababu za msigni.

Hii knowledge ikizidi sana inatengeneza hofu, unaweza kuwa ushafika kitandani ukawa unawaza 'hivi zile rules kule jf zilisemaje?'
ukasahau kuinjoi mwenyewe kwa fomula yako.

duuuuu kongosho hii sasa imezidi kilakitu unaongezea meter mbele
inaonekana physics imekuharabu
 
Kongosho uko sahihi,lakini fahamu kuwa pia haya mambo ni vyema kuyajua lakini usiyafanye kama maandiko ya kwenye biblia!!
 
Last edited by a moderator:
hata wanamme huwa wanayo
sema tu ile kujifanya 'am a man' ndio huwabeba.
Afu kwa asili wanawake huanza kuwa na aibu wanapobalehe.

Mwanaume mwenye aibu siku ya kwanza labda atakuwa serengeti boy anayewania kuingia first eleven.
Lakini mtu anachezea Taifa stars eti amuonee aibu mwanamke kisa siku ya kwanza? subutu...!!!
 
Kwa wasichana labda; wanawake sidhani!
Mpaka ufikie huko maana ushadate na mtu kwa siku kadhaa kama sio miezi. Mmeshakiss na mambo mengine kama hayo! I am past being nervous on 1st day, curios maybe but not nervous!
 
hahaha! Smile bado hujaji commit? sababu hupendi au sababu bado wanaume kamili hujaona? Kila la kheri na u single wako.. Hongera sana.

Kutunza ile kitu inataka moyo sana...we acha tu. Wengine tulipoteza sijui miaka mingapi ilee...teh teh teh
 
Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku hii huwa sio nzuri kwa sababu ya "tension" na "ugeni" kila mmoja kwa mwenzake.Ni vyema wapenzi wapya wasiamue uhodari,uzembe na hata usafi wa wapenzi wao wapya kwa mujibu wa siku hii.Kuna watu huamua kusafisha miili yao au mahali wanapoishi kwa kuwa wanakutana na wapenzi wapya kumbe wakizoeana hurudia hali zao za zamani.Suala la uhodari na aibu during sex nalo huathiriwa na siku ya kwanza.Mtu anaweza kuwa na aibu kwa kuwa hajakuzoea au akawa hodari kwa kuwa wewe ni mpya.So ni vyema ukampima mtu angalau kwa gem kuanzia 4 na kuendelea . . . . .!!

Kuna ukweli hapa ...
 
Kwa wasichana labda; wanawake sidhani!
Mpaka ufikie huko maana ushadate na mtu kwa siku kadhaa kama sio miezi. Mmeshakiss na mambo mengine kama hayo! I am past being nervous on 1st day, curios maybe but not nervous!

na hii ni kwa wanawake wote wanaojiamini!we maybe curious but not nervous!kwani niwe muoga ili kiwe nini?at this age yani niwe nategemea mwanaume atabaki kunikodolea nikionyesha maujuzi yangu badala ya kuinjoi ah wapi!
 
na hii ni kwa wanawake wote wanaojiamini!we maybe curious but not nervous!kwani niwe muoga ili kiwe nini?at this age yani niwe nategemea mwanaume atabaki kunikodolea nikionyesha maujuzi yangu badala ya kuinjoi ah wapi!

Umeona eeh, ila ukikutana na conservative men, ndio watakuona malaya kwa kuenjoy sex na kutopretend that u r shy! LOL
 
Back
Top Bottom