Padri

Padri

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Padre Muumini: Padri nataka kumwacha mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisa! Padri: Si bora mkeo ni nafuu, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu. Muumini: Heeh! Padri: Mke wa yule mwenyekit wa jumuiya pamoja na **** lake ndio bure kabisaa! anazidiwa hata na Sister leAh! Muumini: Atii? Padri: Actually, kwa hapa parokiani wenye nafuu ni mkeo na mke wa yule mwalimu wa Sunday School, na kwa mbali kale kabinti ka usafi wa sakrastia. Naona hawa ndio wanajitahidi.
================
 
Makanisa ya Freemason siku hizi ni mengi.....
 
nimecheka mkuu hata kama ilishatoka, mi sikuiona.
 
Back
Top Bottom