padri na mmasai.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Messages
358
Points
0

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2009
358 0
padri mmoja kila apitapo kijijini kuelekea kanisani humpata mmasai amekaa nje ya nyumba na mbuzi wake aliempenda sana.siku hio padri alimrai mmasai waende kanisani.kwa jinsi mmasai alivyompenda mbuzi wake akamuuliza padri nani ntamuacha anilindie huyu mbuzi? Padri akamjibu.usijali Bwana Yesu atakuchungia asiibiwe.Mmasai akakubali na wakaandamana na padri..ile kufika kanisani tu padri alianza kwa kuwaambia waumini ndugu zangu wakristu msiwe na hofu ya maisha kwa kuwa Bwana Yesu yuko hapa pamoja nasi..dah! Mmasai kuskia hivyo ilibidi atoke nduki kukimbilia mbuzi wake huku akiwaza yani padri ananiambia Yesu atalinda mbuzi wangu kumbe nae amekuja kanisani!!!
 

Forum statistics

Threads 1,357,829
Members 519,096
Posts 33,153,919
Top