Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

😂😂😂 People like to get things twisted so much... Anyways huyo Padre sio commando Wala mwanajeshi... Ila alipata kuhudumu sehemu zenye machafuko ya kivita huko Sudani na alikua akitoa huduma za kiroho kwa wananchi na Wana jeshi wa eneo hilo kwa kifupi alikua chaplain. Sio commando Wala mwanajeshi na kama uliangalia interview yake vizuri utaona story yake yote ya Elimu na U padre lakini sio jeshini.... Na hata wakati wa mahafali yake alilazimika kuomba kibali jeshi limruhusu kuvaa hizo sare iwe ukumbusho kwake. 😂😂😂 Ila wa bongo sasa tunavyo twist vitu
Ujuaji sana utakudhuru. Unadhani haiwezekani? au inakuuma yeye kuwa vyote? Huyo ni mwanajeshi kamili, major na padri kamili, eti kaomba kibali, Yani hizi akili mnatoaga wapi? Kaombe na wewe basi. Unadhani jeshi ni BASATA?
 
Kaomba kibali sababu alikua ni "chaplain" huko Sudani, tafuta maana ya "chaplain" kwanza kabla hujaandika nonsense. Umeangalia interview yake ??? Mana Kila nilichoandika kasema kwenye interview yake sasa sijui wewe unabisha kwa misingi ipi.
 
We kutulize. Sisi tunamfahamu personally, kuwa chaplain haikuzuii kuwa mwanajeshi kamili. Huyo ni major na pia anafanya huduma za kichungaji , ata uraiani anasoma misa, na jeshini pia, usichotaka kuelewa ni nini?
 
😂😂😂 Kweli hujui chochote huyo sio mwanajeshi period. Anyway kama umesoma chuo kikuu utakua angalau unaweza ku connect dots, huko vyuo vikuu Kuna wanajeshi kibao wanasoma na Kila mwaka Wana graduate, swali langu ni hili, umeona lini hata mwanajeshi mmoja kati ya Hawa mamia kama sio maelfu Wanao graduate Kila mwaka siku ya graduation ceremony kavaa sare ya jeshi??? Hamna kitu unajua alaf una ropoka ujinga
 
Hujui kitu chochote we kwanza sio mkatoliki na hujui upadri na lolote. Padri anaruhusiwa kuwa chochote na upadri ukabaki. Huyo ni major rimisho. Namjua sana na nimekaa nae parokia ya sinza. Mpaka gari lake lenye communication centre ya kijeshi nalifaham, Yani kiufupi namfaham personally. Acha kiherehere. Naona inakuuma sana mwenzio kuwa na kofia nyingi. Ndio hivi huna la kufanya na ni MAJOR, PADRI, ARCHITECT. GERE ITAKUUA BWEGE MMOJA WEWE. ☝🏿😂😂😂 Kujifanya unajua kumbe kenge tu. You know nothing you envious piece of crap.
 
Ana hizo kofia zote lakini sio ya kijeshi.... Alaf wengine mna sema ni commando 😂😂😂...Alaf swali la msingi hujajibu ni hv umeona wapi mwanajeshi ame graduate mahafali ya chuo kikuu na sare ya Jeshi???? Na hata wakiwa kwenye sherehe Wana suti zao huvaa za kijani au nyekundu kulingana na sherehe ilivyo .... 😂😂😂😂 Yeye sherehe ana Vaa gwanda??? 😂😂😂sio mwanajeshi uyo ndugu.
 
We hujawahi kuona mwanajeshi padri, inakuuma sana. Sio commando ni major. Ficha upumbavu wako. Uwe unauliza ata basi ata kwa rafiki zako wajeda usije kujifanya much know wakati hauna akili. Yani ata ku Google tu umeshindwa usome ata article ya mwananchi. Mitanzania kama nyie ndio mnafanya tunaonekana wote wapumbavu. Kwa hiyo kama hujawahi kuona maana yake haiwezekani? Yani ata kureason tu linashindwa. Gwanda la kijeshi na vyeo vyake kabisa mtu kavaa bado halitaki kuamini. Ndio maana viongozi wanaamuaga kuwadanganya tu. Ndio kitu pekee mnapenda. Uongouongo. WEWE SIO MKATOLIKI NDIO MAANA UNASHANGAA. MSHAMBA USINIPOTEZEE MUDA.
kaangalie interview yake kama hutaelewa basi Sina namna ya kufuta ujinga wako😂😂😂.
 
People like to get things twisted so much... Anyways huyo Padre sio commando Wala mwanajeshi... Ila alipata kuhudumu sehemu zenye machafuko ya kivita huko Sudani na alikua akitoa huduma za kiroho kwa wananchi na Wana jeshi wa eneo hilo kwa kifupi alikua chaplain. Sio commando Wala mwanajeshi na kama uliangalia interview yake vizuri utaona story yake yote ya Elimu na U padre lakini sio jeshini.... Na hata wakati wa mahafali yake alilazimika kuomba kibali jeshi limruhusu kuvaa hizo sare iwe ukumbusho kwake. Ila wa bongo sasa tunavyo twist vitu
Midemko ya bongo utaiweza? Weka picha tu vitu vingine watasawazisha wenyewe!
 
Padri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.

Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.

Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.

Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.

Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Major Rev.Dr.Henry Rumisho (PhD).

Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hakika anastahili pongezi nyingi.!

Credit: Malisa Gj kupitia ukurasa wake wa instagram.

NB: ukiusoma uzi huu kwa minajili ya kupata inspiration kupitia safari ya kielimu ya padre Rimisho, utajifunza kitu.

pia utajifunza kitu kama utausoma uzi huu kwa jicho la kijasusi(namna taasisi zetu za kiusalama zinavyotaradadi kwenye masuala ya usalama wa nchi).

ila utapasuka kichwa kama utausoma uzi huu kwa msukumo wa chuki ya kidini.
View attachment 2033003
Blessed Kilimanjaro
 
Ana hizo kofia zote lakini sio ya kijeshi.... Alaf wengine mna sema ni commando ...Alaf swali la msingi hujajibu ni hv umeona wapi mwanajeshi ame graduate mahafali ya chuo kikuu na sare ya Jeshi???? Na hata wakiwa kwenye sherehe Wana suti zao huvaa za kijani au nyekundu kulingana na sherehe ilivyo .... Yeye sherehe ana Vaa gwanda??? sio mwanajeshi uyo ndugu.
Hujui kitu endelea kuchunga kondoo hapo ushirombo
 
Hujui kitu chochote we kwanza sio mkatoliki na hujui upadri na lolote. Padri anaruhusiwa kuwa chochote na upadri ukabaki. Huyo ni major rimisho. Namjua sana na nimekaa nae parokia ya sinza. Mpaka gari lake lenye communication centre ya kijeshi nalifaham, Yani kiufupi namfaham personally. Acha kiherehere. Naona inakuuma sana mwenzio kuwa na kofia nyingi. Ndio hivi huna la kufanya na ni MAJOR, PADRI, ARCHITECT. GERE ITAKUUA BWEGE MMOJA WEWE. Kujifanya unajua kumbe kenge tu. You know nothing you envious piece of crap.
Chuki ,ujinga na umaskini ndio vinakutesa
 
Back
Top Bottom