Ungamo lako likiwa ni la kweli na ukitaka kwa moyo wote msamahama wa dhambi kwa ajili ya Yesu Kristo, basi, kwa nguvu ya Neno lake na kwa agizo la Bwana wetu Yesu Kristo ninakutangazia kuwa Mungu kwa Neema yake amekusamehe dhambi zako zote. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.