padri anahtajka haraka!

mpoleeee

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
310
Reaction score
131
4giv me father i hav sinned. Nimetenda dhambi nahtaj padri mwenye upako niungame.

Bwana Yesu asifiwe.
 
4giv me father i hav sinned. Nimetenda dhambi nahtaj padri mwenye upako niungame.

Bwana Yesu asifiwe.

Nenda kanisani au mkuu uko kitandani unataka toba ya mwisho
 
Maungamo yapo kila baada ya misa ya asubuhi, au kama mgonjwa kitandani unahitaji padri ni kumpigia katekista amplete paroko nymbani kwako
 
njooo kwangu nikuungamishe huwe mpole zaid
 
The Finest nadhani ni padre. Ngoja assistant wake aje atakuletea, ila huwa hatubishi umeme ukiwepo
 
4giv me father i hav sinned. Nimetenda dhambi nahtaj padri mwenye upako niungame.

Bwana Yesu asifiwe.
Kumbe umegundua kuwa ile thread yako ya Nimemuona MwanaJF' dhambi mbaya?...Bora ukaungame haraka kwa Mungu wako.n
 
unaitaji padri mwenye upako au mchungaji mwenye upako?
 
mchumba wangu ni padre,uko sehemu gani nimwambie aje kukusaidia.lol
 
Najuta mimi kukimbia seminari, sasa ivi ningekuwa nakuungamisha weee mpaka uchoke
 
Umeanza tena na mambo ya gx100 eeh, wakati uliikimbia ile thread bila kulazimishwa na mtu?



kule wajuaj walnivamia namuuliza mwenye mchuma kujua kama yuypo pazur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…