Makanisa toka lini yakampa mtu msaada wkt yenyewe ndio yanapenda kupokea na c kutoaaa..
Bora ameenda uko kwa waislamu ila kwa wakristo ukionekana hata unaingia kanisan na nguo chafu wanakuhisi mwizi au umechanganyikiwa.