Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Sijafika kwenye uhalali kwnz
Shida ya wao kutaka kuandamana ilukua ni nini
Rais Samia Suluhu amesema, haina haja ya kupeleka maandamano X-mass, muda wowote mkitaka kuja nyie njooni tu mtakuta tumejipanga. Haya ndio mambo tunapenda kusikia, leteni usenge wenu sasa.
 
Sisi BAKWATA tunakuunga mkono!
Wingi wa sentensi 'kifo ni kifo' ni 'vifo ni vifo'.
 
Kumbe Kitima kusema watu waliletwa hospitali wakiwa wana majeraha ya risasi na policcm kusema wasitibiwe tupa huko wakafie mortuary ndio kutumia TEC vibaya?

Kumbe TEC nao waliingia na mitutuya AK-47 na kuua watu mitaani?

Kumbe Kitima ndio alikua katika hili kundi la hawa wenye kofia akipiga watu risasi wasio na silaha?
 
Ulitaka watulize vipi yale magenge ya mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya petroli na mwendokasi?
 
Unapoanza kunya sebuleni ati kwa vile wewe mwenye nyumba, ujue hapo unasubiriwa timing tu.
 
Ulitaka watulize vipi yale magenge ya mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya petroli na mwendokasi?
Master Tindwa wa Clouds TV na Sheikh Sharif Majini nao walikua wanachoma vituo vya mafuta kumbe?
 
Nani amekwambia kwamba Pd. Charles Kitima ni Katibu wa TEC?
 
Unajua Dr.Slaa naye alikua katibu wa TEC??Katibu wa TEC ndo injine ya baraza la Maaskofu, hiyo nafasi hua hakai mtu mnyonge, anza na kina DR.Slaa ndo utaelewa.
Historia ya kanisa katoliki kupingana na udhalimu ipo tangu miaka 2000 nyuma. Umeskia tamko la maaskofu wa Zambia two weeks ago, unajua Congo hapo jirani kanisa katoliki linavyotoa miongozo na statements mamlaka zinang'aka lkn lipo miaka yote???
Padre Kitima alipokua anaongea kuhusu waliouawa alitenganisha wakristu na waislam??
Halafu nyinyi na serikali yenu ya kidhalimu mbona hamuongelei vifo, mko busy na miundo mbiny, mnataka kila mtu aongelee miundo mbinu???
How many people have you killed, familia ngapi mmeumiza???Hayo mbona hamsemi??
Hivi nyinyi watu mna UTU kweli??
Bila shaka mnalipwa kutetea maovu.Suala sio Samia, suala ni haki
 
Je huko DRC ambako RC ndiyo dominant, wamefanikiwa nini katika kuleta amani na maendeleo?

Je wakati Jimbo la Kivu linanyakuliwa na M23, hiyo TEC ya DRC imechukua hatua gani?

Viongozi wa kiroho wajikite na kazi za kiroho tu
 
Je huko DRC ambako RC ndiyo dominant, wamefanikiwa nini katika kuleta amani na maendeleo?

Je wakati Jimbo la Kivu linanyakuliwa na M23, hiyo TEC ya DRC imechukua hatua gani?

Viongozi wa kiroho wajikite na kazi za kiroho tu
Kukaza kwao fuvu ndo kumesababisha nchi inameguka, si unaona M23 wamechukua jimbo, mauaji yanayoendelea.yote haya ni sababu ya kujizima data.Wanaambiwa haki, ufisadi, matumizi sahihi ya rasilimali wanakaza vichwa na kujiona wako sahihi.
Na nyinyi na serikali yenu hivyohivyo: mnaambiwa kila siku, mnashauriwa kila siku, mnapewa waraka kila siku, lakini mnakaza vichwa..mnasema nyinyi ni kama CHURA KIZIWI..hamsikii chochote.
Matokeo yake si ndo tumeanza 29 October, watu wamekufa,mali zimeharibiwa.
Mpaka sasa hakuna amani, umeina jana Rais alivyopanik...hana furaha, ana hasira....angalia mabarabarani..wanajeshi na mabunduki kila kona...HAYA YOTE TUNALIPA SABABU YA UBISHI WENU.
TEC na viongozi wengine wa dini wao kazi yao ni kutoa maonyo tu, ndo wajibu wao, mkikaza mafuvu damu itakuwa juu yenu, yao wameishamaliza..
 
Sasa si umesema Kanisa Katoliki lina nguvu DRC, wanashindwaje sasa kumuweka kiongozi wa Katoliki ambaye atawatoa M23
 
Dr Slaa aliacha uPadre kati ya mwaka 1991- 93, na mwaka 1995bakashiriki uchaguzi kugombea jimbo la Karatu
Sasa mkuu kumbe alicha na siyo kuwa alistaafu. Rekebisha hapo kaka
 
Abduli amekwisha kukusilimisha
 
Ina maana walioharibiwa mali hujaona walivyokiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…