Padre anusurika kupigwa risasi Wilayani Kisarawe

Padre anusurika kupigwa risasi Wilayani Kisarawe

nemoo

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
104
Reaction score
19
Padre wilayani Kisarawe Mkoani Wa Pwani anusurika kupigwa risasi!!! Mwenye taarifa zaidi aweke hapa vinginevyo ntarud na data.


Update:

Mtu mmoja ambae bado hajafahamika aliingia kanisani na kukaa dawat la mbele ktk misa Ya Ijumaa Kuu ya leo ktk kanisa la Kisarawe Pwani.

Baada ya muda mtu huyo alitoka nje kuongea na cm wakati anaongea na cm kamati ya ulinzi ya kanisa ilihis kitu ikawa inamfuatilia ndipo mtu huyo akatoa bastola akiwa ana I seti wakamuwahi wakamkamata na kupiga cm police.

Baada ya polisi kufika wakampiga sachi wakamkuta na bastola yenye risasi tatu ndani na risasi nyingine nne mfukoni, wakaondoka nae kwa upelelez zaidi.
 
Kisa? Ongeza details zaidi. Haiwezekani hizo ndizo ulizokuwa nazo ndugu. Najua ulikuwa unawahi kuwa wa kwanza, sasa basi ongeza minofu kidogo najua unayo.
 
Kwa nini wamemkosa, huyo jamaa ana shabaha nini?
 
huu mtandao chukua 1%,na 99% inabidi niyaache humu humu!!!!!:wink2:,kujisajili tu lazma upate idhini kwanza,ila kwenye kutuma hoja au habari yoyote hata kama ni upuuzi usiokuwa na ushahidi wowote huwa haihitaji idhini ya mtu!!!!,wahusika jirekebisheni kama mmeamua mtandao wenu uwe ni wa kijamii kweli,haitoshi kuifuta habari baada ya kusomwa na mamia ya watu,na kwa mtu kama mm nakuwa nimepoteza mda wangu mkubwa............
 
Kesho kwenye misa za usiku inabidi ulinzi uongezwe mara dufu
 
Kwa nini wamemkosa, huyo jamaa ana shabaha nini?

Ina maana wewe ndo ulimtuma huyo mwuaji? Utakufa wewe kabla huyo padre hajafa. Mbona unafurahia.kifo cha mtu? Kwani wewe unajua unaishi muda gani au utakufa kwa njia ipi? Mwombe Mungu akuondolee roho ya uuaji ndani mwako.
 
Back
Top Bottom