Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Hakuna dini inayofundisha maovu,ila ni tabia ya mtu,ugomvi baina ya mtu na mtu au watu.Waovu wapo dini zote,na wasiokuwa na dini pia wapo.Tendo likitwendwa na mtu wa dini fulani,isihusishwe hiyo dini.Hilo ni jambo binafsi la huyo mtu,au hao watu kwa sababu zao binafsi.Acheni mtindo wa kusakama dini fulani.Dini zote zina watu waovu.Wapo na wanaendelea kuwapo.