Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
3. God dwells in light
Tim 6:16
God dwells in darkness
1 Kings 8:12/ Ps 18:11/ Ps 97:2
4. God is seen and heard
Ex 33:23/ Ex 33:11/ Gen 3:9,10/ Gen 32:30/ Is 6:1/
Ex 24:9-11
God is invisible and cannot be heard
John 1:18/ John 5:37/ Ex 33:20/ 1 Tim 6:16
5. God is tired and rests
Ex 31:17
God is never tired and never rests
Is 40:28
6. God is everywhere present, sees and knows all things
Prov 15:3/ Ps 139:7-10/ Job 34:22,21
God is not everywhere present, neither sees nor knows all
things
Gen 11:5/ Gen 18:20,21/ Gen 3:8
context tena:mpo km watoto wadogo.......labda nikufungue kidogo tuu ili ujipe majibu mengine mwenyewe kabla ya kuleta humu harakaharaka...nakushauri usome Biblie kuanzia mwanzo au chapter nzima.mambo mengine ukidhani unabishana dhini ya Ukristu unakuwa unabishana hata na uislam wenyewe.

Mungu ni invinsible by default kwa binadamu, ila kuwa visible ni yeye ana aamua.......Mungu yupo popote kwa ana access ya kila kitu...ila kuna sehemu anaweza amua kutokuwepo..mojawapo ni katik mioyo ya alqaeda, hayupo kuzimu ingawa anaweza access.....

-Dhana ya "kusikia" ama "kuona" inaweza kuwa ni kuon akm kuona yaani taswira kufikia, na kusikia inaweza kuw ani kupata mawimbi ya sauti..ila kusikia pia ni kuweka "attention".Ndio maana hata leo unasikia JK/serikali ya CCM ni Sikivu/si sikivu....

Duuuh....pole kwa uislam....
 
Unaonyeshwa jinsi ndani ya biblia amri za kuwapa watu adhabu,hayo hayamo ndani Quran,yamo ndani ya Biblia.Acha kukukimbia,elewa somo.Kukwepa jambo sio ujanja,mwingine ataona na atasoma na ataelewa,si lazima uwe wewe.

Haha Biblia ni Library kijana..Ina Mkusanyiko wa Vitabu vinachukua historia nzima hadi kufikia Ukristu....kuna mambo yalifanyika kwa muda husika kutokana na maagano (Mikataba ya Wana wa Israeli na Mungu wao, na watu waliowazunguka , mababu zao) ukisoam Biblia kwa kita Chapter vizuri utaelewa.....Biblia si Quran amabyo bila hadithi huwezi elewa kw avile misrari haijapangiliwa kwa time, mstari wa 30 unaweza kuwa unaelezea story ya kabla ya mstari wa 5.Biblia chapter moja toa Injil, kinaelezea Zama moja

Huwezi tumia fikra za kiislam kuuelewa Ukristu..sasa km waislam kila mtu muhimu ktk Biblia kwao ni Nabii..hata mtu amabye hakuwa na ujumbe alioleta zaidi ya matendo yake maku tuu.Ni dunia tofauti....sasa km kwa waislam kuzaa lazima Ngono itembee... ni vipi wataweza pata taswira ya uzazi..?Dunia imejaa vitu vinavyozaa bila ngono..ila wao wanalazimisha Mungu mwenye kila uwezo afanye ngono ndipo pate mtoto..
 
The thirty Years' War (1618 -1648) was a series of wars principally fought in central Europe involving most of the countries of Europe.It was one of the longest and most destructive conflicts in European history and one of the longest continuous wars in modern history .
It was fought largely as a religious war between Protestants and Catholics in the Holy Roman Empire

haha..hembu mwambie huyu jamaa.....(1618-1648) ndipo kipindi cha ukristu....sasa mboan ukristu ulikuwepo tnagu mwanzo hadi sasa upo?Ina maana ulibadilika?

East Europe imekuwa na vita kutokana na mambo mengi na tamaduni nyingi..eastern/central europe imashambuliwa sana tabaduni nyingi zikiwepo uislam kutokea Uturuki, ujamaa, free masonry, na mengine amabyo yalisukuma sana vita.Pamoja na kanisa katholic kujaribu zuia kuvunjika kanisa kwa njia za kisiasa kuliko njia ya Kibiblia.

IN wazi kuwa kanisa linahitaji kuacha Biblia ili liweze fanya vita..ila uislam unahitaji jishika na Quran ili uweze kuwa deadly war machine.
 
najua hutaelewa kwa vile unajua unayo kazi kujibu km kupiga mawe, kukatana mikono , kuchinjana kwa muislam anapoachana nao, etc si uchama..

Hiyo bishara Yesu alikuja iondoa na kuweka Agano jipya kati ya Binadamu na Mungu..waislam wamerudi na version ya o ili majinn yapate damu.....kamuulize sheikh wako majinn km yanakula damu inapataika wapi?Watawa mix kila mahala ili muone uhalali wa kumwaga damu...akili zenu zinawadanganya ni makafiri na wayahdui ndio wanaowachanganya....huo ndio ufahamu wenu hadi mwisho wa dunia.

Agano la zamani kama unalikana basi nitakuletea kutoka agano jipya:Hii ndio amani na upendo

22 Indeed I will cast her into a sickbed, and those who commit adultery with her into great tribulation, unless they repent of their[a] deeds. 23 I will kill her children with death, and all the churches shall know that I am He who searches the minds and hearts. And I will give to each one of you according to your works.
22 Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
23 nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.
 
Jesus say:if thy hand offend thee,CUT IT OFF,it is better for you to enter into heaven maimed than having two hands to go into hell.mark 9:43.
Sijawahi kuona christian wakifuata amri hii ya yesu,ndo kusema wanamdharau mungu wao au wako busy.
 
sasa wakristo huko Zanzibar mnatafuta nn eeeeh!! hivi bado hamjajua kwamba kuendelea kuishi huko ni kujitakia kifo (suicide)? kifo cha kujitakia ni dhambi kama ya kuua mtu hata kama ni wafia dini si kwa mchezo huooo....ondokeniii Zanzibar si sehemu salama kwa mkristo yeyote yule eeeeeh!
 
Haha Biblia ni Library kijana..Ina Mkusanyiko wa Vitabu vinachukua historia nzima hadi kufikia Ukristu....kuna mambo yalifanyika kwa muda husika kutokana na maagano (Mikataba ya Wana wa Israeli na Mungu wao, na watu waliowazunguka , mababu zao) ukisoam Biblia kwa kita Chapter vizuri utaelewa.....Biblia si Quran amabyo bila hadithi huwezi elewa kw avile misrari haijapangiliwa kwa time, mstari wa 30 unaweza kuwa unaelezea story ya kabla ya mstari wa 5.Biblia chapter moja toa Injil, kinaelezea Zama moja

Huwezi tumia fikra za kiislam kuuelewa Ukristu..sasa km waislam kila mtu muhimu ktk Biblia kwao ni Nabii..hata mtu amabye hakuwa na ujumbe alioleta zaidi ya matendo yake maku tuu.Ni dunia tofauti....sasa km kwa waislam kuzaa lazima Ngono itembee... ni vipi wataweza pata taswira ya uzazi..?Dunia imejaa vitu vinavyozaa bila ngono..ila wao wanalazimisha Mungu mwenye kila uwezo afanye ngono ndipo pate mtoto..
Quran haithibitishi kuwa kila apatikanapo mtoto pamefanyika ngono. Ushahidi ni Adam & Jesus, mmoja amezaliwa bila baba na mmoja amezaliwa bila mama wala baba.
45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu)
46. Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
47.
Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
QURAN(3:45-47)
 
Jesus say:if thy hand offend thee,CUT IT OFF,it is better for you to enter into heaven maimed than having two hands to go into hell.mark 9:43.
Sijawahi kuona christian wakifuata amri hii ya yesu,ndo kusema wanamdharau mungu wao au wako busy.

wanaijua sana lakini ikitumika, hakuna cha kuvuna zaidi ya machafuko
 
contradiction ziko nyingi sana.

Kama yesu alifuta baadhi ya taurati ,nini sababu ya crusade?na unyama mwingine uliofanywa na kanisa enzi za zama za giza?

Yesu ahakufuta ili alizikamilisha.......pengine nikupe mfano mrahisi mnaopeana waislam usiikaribie zinaa......Yesu alichokuw akifanya ni kuisaidia tofauti kuzuia watu wasirikie makos aili wahukumiwe...Na kurudisha jukumu kwa muumini binafsi ..yaani kuua ni kosa ila kuua unaweza kuzuia kw akukata mzizi wake ambao unaanzia ktk chuki, kuzini ni kubaya ila unaanzia kwa mzinzi kutozimiliki tamaa zake mwenyewe....hivyo hivyo kwa mwizi.....yaani ni kma "kuwafudisha bank kuwaandaa wakopaji ili wafanikiwe na kuja lipa kuiko kuwapa mkopo ambao utapelekea wao kufilisiwa"..hakutaaamisha kuw aumekuja futa mikopo ila umekuja kamilisha utoaji mikopo
 
Jesus say:if thy hand offend thee,CUT IT OFF,it is better for you to enter into heaven maimed than having two hands to go into hell.mark 9:43.
Sijawahi kuona christian wakifuata amri hii ya yesu,ndo kusema wanamdharau mungu wao au wako busy.
42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.
43Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika;
44 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
45 Na mguu wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima, u kiwete, kuliko kuwa na miguu miwili, na kutupwa katika jehanum;
46 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
47 Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum;
Marko(9:42-47)
 
Kukata mzizi hata uislamu unafundisha hivyo hivyo. Tamaa ni jambo la maumbile na ndio maana ukaambia usikaribie zinaa(na sio usizini) kwani kukaribia ni vile vishawishi vitakavyokupeleka huko, na ndio maana tumeambiwa tuinamishe macho chini tusiangalie wanawake, na wanawake wajistiri
 
Quran haithibitishi kuwa kila apatikanapo mtoto pamefanyika ngono. Ushahidi ni Adam & Jesus, mmoja amezaliwa bila baba na mmoja amezaliwa bila mama wala baba.
45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu)
46. Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
47.
Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
QURAN(3:45-47)

Safi sana..ndio maana nawaambia hata shetani akisoma quran atafanya mema kuliko waislam wenyewe..."Neno" THE Word"....Kasome YOHANA mwenyewe.....kwa utulivu kabisa.....Ndipo utakapojua Ukuu wa "NENO LA MUNGU" ..neno la Mungu likitoka huwa halirudi rekebishwa, likitok alina instructiona zote na linaweza solve kila problem bila kuhitaji rudi kwa mwenyewe kulirekebisha..Lina Mamlaka kamili ambayo hayakinzani na Mtoa Neno..Lina Umba, linaponya,Linasamehe..na linahukumu.

Wema wa Yesu na kutojihusisha na dhambi ni ushuhuda ambao upo kwa yesu ndani ya Quran kuliko hata kw amuhamad Mwenyewe.Huo ukweli waislam hawautaki.Watazungusha maneno "km Kuku na Yai nani w akwanza" hadi wapotee biashaa yao ya fujo iendeleee.

Quran haithibitishi hilo ila fikra za waislam wasomi na wasiosoma ni kuwaona km wakristu wanakufuru kusema ni mwana wa Mungu....wengine huenda mbali na kusema yaani Mungu kalala na Maria....wanaguna vibata kabisa.

Kuanzia backaria hadi mimea mingi tuu haifanyi ngono kuweza zaana.Soma maandiko yote vizuri ndipo utaona ni kwanini Yesu ni Mungu kwa vile ni mrithi wa Baba, Yesu ni Mungu kwa vile neno La Mungu lina sifa za Mungu....Soma Injili ya Yohana halafu Rudi ktk ulichoandika hap aktk Quran kwa akili yako mwenyewe ..utakachokipata wala usije niambia.
 
Jesus say:if thy hand offend thee,CUT IT OFF,it is better for you to enter into heaven maimed than having two hands to go into hell.mark 9:43.
Sijawahi kuona christian wakifuata amri hii ya yesu,ndo kusema wanamdharau mungu wao au wako busy.

42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.
43Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika;
44 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
45 Na mguu wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima, u kiwete, kuliko kuwa na miguu miwili, na kutupwa katika jehanum;
46 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
47 Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum;
Marko(9:42-47)
haha....napata raha kuona kumbe kinachowasumbua waislam ni uelewa tuu:
Kuwaongezea ni kwamba appendix yako ikijaa ikate..........hiyo ndio sayansi ya leo?Umewahi lalamikia hilo?

Hata hiyo dudu yako km inakusumbua sana unabaka mama yako na wake wa zengine kuikata ni vyema sana kuliko kuicha...

Km hupendi kuwa na majukumu basi usizae kuliko kuzaa na kutesa watoto......

Km huwezi tunza ndevu zikate, km kucha zinachukua mavi sana unapoenda chamba kuambukiza wengine magonjwa zikate.....

Huko ni kuwajibika mwenyewe na kujipima kwa faida yako........

Nadhani inatosha wafungua kidogo.au mlalamikie nahivyo hapo juu.
 
Nimefatilia mjadala huu kwa kina, nilichokiona nimashindano ambayo kimsingi uwiano wake na title au hoja halisi

ya kumwagiwa padri tindikali ni mdogo sana naona mjadala umejikita kwenye utetezi wa kidini na kushambuliana

Mimi ningedhani kwa kila anayejadili kati yenu yaani ali777, Nicholas, Kikwajuni one na Elungata main nk

Nimtazamo na rai yangu; kwakila bishanio/hoja na ufafanuzi rejeeni kwenye hoja Je kunauhusiano wowote na

matukio ya tindikali na kupigwa risasi kwa wahusika huko zanzibar?. lengo jamii ijifunze pia serikali, nadhani

baadhi ya watendanji ni memba humu nao wapate lau pakuanzia kumtafuta mchawi.

Sio lengo langu kujiingiza katika mkorogano huu, ni ushauri tu..........
Lakini naona mnapena vifungu ambavyo kwamtazamo wangu sasa mnatoka nje ya mada na kubadili kabisa mwelekeo na

mtazamo wa uzi huu.
 
sasa wakristo huko Zanzibar mnatafuta nn eeeeh!! hivi bado hamjajua kwamba kuendelea kuishi huko ni kujitakia kifo (suicide)? kifo cha kujitakia ni dhambi kama ya kuua mtu hata kama ni wafia dini si kwa mchezo huooo....ondokeniii Zanzibar si sehemu salama kwa mkristo yeyote yule eeeeeh!

wengine ni wazanzibar kwa karne nyingi tuu sasa watakwenda wapi?ni km Syria Wakristu waliokuwepo Tangu enzi ya Kristu juzi walianza uwawa kwa vile maalqaeda wanawalizimisha wawapiganie kumwondoa assad ili waingie n akuitangaza nchi kuwa ya kiislam..ndio kinachoendelea Syria hadi Marekaniw akashtuka na kuchagua the better of the 3 evils.Yaani Alqaeda, Assad, au waasi ambao nao wamechanganya makundi ya kiislam.
 
Safi sana..ndio maana nawaambia hata shetani akisoma quran atafanya mema kuliko waislam wenyewe..."Neno" THE Word"....Kasome YOHANA mwenyewe.....kwa utulivu kabisa.....Ndipo utakapojua Ukuu wa "NENO LA MUNGU" ..neno la Mungu likitoka huwa halirudi rekebishwa, likitok alina instructiona zote na linaweza solve kila problem bila kuhitaji rudi kwa mwenyewe kulirekebisha..Lina Mamlaka kamili ambayo hayakinzani na Mtoa Neno..Lina Umba, linaponya,Linasamehe..na linahukumu.

Wema wa Yesu na kutojihusisha na dhambi ni ushuhuda ambao upo kwa yesu ndani ya Quran kuliko hata kw amuhamad Mwenyewe.Huo ukweli waislam hawautaki.Watazungusha maneno "km Kuku na Yai nani w akwanza" hadi wapotee biashaa yao ya fujo iendeleee.

Quran haithibitishi hilo ila fikra za waislam wasomi na wasiosoma ni kuwaona km wakristu wanakufuru kusema ni mwana wa Mungu....wengine huenda mbali na kusema yaani Mungu kalala na Maria....wanaguna vibata kabisa.

Kuanzia backaria hadi mimea mingi tuu haifanyi ngono kuweza zaana.Soma maandiko yote vizuri ndipo utaona ni kwanini Yesu ni Mungu kwa vile ni mrithi wa Baba, Yesu ni Mungu kwa vile neno La Mungu lina sifa za Mungu....Soma Injili ya Yohana halafu Rudi ktk ulichoandika hap aktk Quran kwa akili yako mwenyewe ..utakachokipata wala usije niambia.
Na ndio maana sisi waislamu tunamuamini Yesu kama Issa ni Mtume wa Allah na si Mungu, na muislam hawi muislam hadi aamini hivyo, kitabu alichopewa kimechakachuliwa na ndio maana imeteremshwa Quran ambayo inamthibitisha Yesu utukufu wake kama Yesu alivyotabiri,hakutokea mwengine hadi leo zaidi ya Muhammad.
 
Nimefatilia mjadala huu kwa kina, nilichokiona nimashindano ambayo kimsingi uwiano wake na title au hoja halisi

ya kumwagiwa padri tindikali ni mdogo sana naona mjadala umejikita kwenye utetezi wa kidini na kushambuliana

Mimi ningedhani kwa kila anayejadili kati yenu yaani ali777, Nicholas, Kikwajuni one na Elungata main nk

Nimtazamo na rai yangu; kwakila bishanio/hoja na ufafanuzi rejeeni kwenye hoja Je kunauhusiano wowote na

matukio ya tindikali na kupigwa risasi kwa wahusika huko zanzibar?. lengo jamii ijifunze pia serikali, nadhani

baadhi ya watendanji ni memba humu nao wapate lau pakuanzia kumtafuta mchawi.

Sio lengo langu kujiingiza katika mkorogano huu, ni ushauri tu..........
Lakini naona mnapena vifungu ambavyo kwamtazamo wangu sasa mnatoka nje ya mada na kubadili kabisa mwelekeo na

mtazamo wa uzi huu.

kwa haraka unaweza dhani havihusiani..ila ki ukweli shida hapa ni uislam na wanachoamini waislam ktk huo uislam..Ubishi wote hapa ni watu "AMA KUHALALISHA HUO UNYAMA NA USHENZI AU KUDANGANYA KUWA HAUUSIANI NA UISLAM NA WENGINE WOTE WAKIWEPO WALIOFANYA KWA JINA LA DINI NI WAONGO NA SI MUDA WATENDA MBALI KUESEMA WANAKUFURU DINI YAO" .Ni spirit ya islam kupenda waingiza wenzao ktk hukumu y akukufuru, wakati wao wakisema si kurufu kuwakufuru wengine kwa vile dini yao ndio msemaji wa mwisho na dini pekee ya ukweli duniani.

Hutaweza solve tindikali na ushnzi mwingine kwa njia ya serikali bila hawa watu kuelelimishwa...km umefuatilia utaona wameenda mpak mfumo kristu, serikali kuwepo ktk upande wa victims Wakristu, na mengine mengi..Nikijikita ktk ISSUE YA SERIKALI KUWALINDA WAKRISTU INGAWA NI KISHERIA NA HAKI KM RAIA WENGINE WANAVYOLINDWA DHIDI YA WAHALIFU WENGINE KM MAJAMBAZI ETC...waislam wanatafsiri hivyo n ahat wa Tindikali wakishikwa waislamw atakuja juu pia kuwa serikali inawashika watu kwa vile inalinda wakristu..fikra zao ahpa ni hizi:

-Ni halali kuwafanyika makafiri hivyo na serikali inapaswa fanya hivyo.
- fikra zao ni kwamba serikali iwaachie wakristu wapambane na waislam ili wawaone nguvu zao....
-fikra zao ni kwamba sheria ya nchi si sheria halalai kwao na si zao kwa jili yao km raia, na hivyo kuziona km si zao basi ziatakuwa na i wakristu..

Sasa unachosahwishi hapa ni kuwasaka hao jamaa na kuwafikisha ktk sheria il kwa jinsi nimeweka hayo hapo ni wazi utaona wapi shida itazidi na baadaye haya kuingizwa propaganda, km mwembechai na uvunjanji wa mabucha zekiti moto.
 
Yesu ahakufuta ili alizikamilisha.......pengine nikupe mfano mrahisi mnaopeana waislam usiikaribie zinaa......Yesu alichokuw akifanya ni kuisaidia tofauti kuzuia watu wasirikie makos aili wahukumiwe...Na kurudisha jukumu kwa muumini binafsi ..yaani kuua ni kosa ila kuua unaweza kuzuia kw akukata mzizi wake ambao unaanzia ktk chuki, kuzini ni kubaya ila unaanzia kwa mzinzi kutozimiliki tamaa zake mwenyewe....hivyo hivyo kwa mwizi.....yaani ni kma "kuwafudisha bank kuwaandaa wakopaji ili wafanikiwe na kuja lipa kuiko kuwapa mkopo ambao utapelekea wao kufilisiwa"..hakutaaamisha kuw aumekuja futa mikopo ila umekuja kamilisha utoaji mikopo
kuzikamilisha ndo kuzifanyaje?yesu alisema haitaondoka hata nukta ya torati,amezikamilishakamilishaje au twacheza na maneno hapa.
 
kwa haraka unaweza dhani havihusiani..ila ki ukweli shida hapa ni uislam na wanachoamini waislam ktk huo uislam..Ubishi wote hapa ni watu "AMA KUHALALISHA HUO UNYAMA NA USHENZI AU KUDANGANYA KUWA HAUUSIANI NA UISLAM NA WENGINE WOTE WAKIWEPO WALIOFANYA KWA JINA LA DINI NI WAONGO NA SI MUDA WATENDA MBALI KUESEMA WANAKUFURU DINI YAO" .Ni spirit ya islam kupenda waingiza wenzao ktk hukumu y akukufuru, wakati wao wakisema si kurufu kuwakufuru wengine kwa vile dini yao ndio msemaji wa mwisho na dini pekee ya ukweli duniani.

Hutaweza solve tindikali na ushnzi mwingine kwa njia ya serikali bila hawa watu kuelelimishwa...km umefuatilia utaona wameenda mpak mfumo kristu, serikali kuwepo ktk upande wa victims Wakristu, na mengine mengi..Nikijikita ktk ISSUE YA SERIKALI KUWALINDA WAKRISTU INGAWA NI KISHERIA NA HAKI KM RAIA WENGINE WANAVYOLINDWA DHIDI YA WAHALIFU WENGINE KM MAJAMBAZI ETC...waislam wanatafsiri hivyo n ahat wa Tindikali wakishikwa waislamw atakuja juu pia kuwa serikali inawashika watu kwa vile inalinda wakristu..fikra zao ahpa ni hizi:

-Ni halali kuwafanyika makafiri hivyo na serikali inapaswa fanya hivyo.
- fikra zao ni kwamba serikali iwaachie wakristu wapambane na waislam ili wawaone nguvu zao....
-fikra zao ni kwamba sheria ya nchi si sheria halalai kwao na si zao kwa jili yao km raia, na hivyo kuziona km si zao basi ziatakuwa na i wakristu..

Sasa unachosahwishi hapa ni kuwasaka hao jamaa na kuwafikisha ktk sheria il kwa jinsi nimeweka hayo hapo ni wazi utaona wapi shida itazidi na baadaye haya kuingizwa propaganda, km mwembechai na uvunjanji wa mabucha zekiti moto.
Sasa wewe kama unadhani uislam unafundisha watu kumwagiwa tindikali? Ebu fikiria waislamu woote waanzishe vita dhidi ya wasio waislamu unafikiri pangekalika?There are more than 1.6billion muslims duniani. Usikurupuke kuwabambikizia watu wa dini fulani bila ushahidi, tuwache uchunguzi uendelee.
 
42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.
43Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika;
44 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
45 Na mguu wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima, u kiwete, kuliko kuwa na miguu miwili, na kutupwa katika jehanum;
46 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
47 Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum;
Marko(9:42-47)
hizi ni amri na maagizo personaly ya yesu,kwanini wafuasi wake hawazifuati,je hii sio dharau kwa mungu wao yesu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom