LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
Mapadre wanaoingia kwenye utumishi wa Mungu wakiwa kweli na imani na wamevutwa na wito na kutafuta ukamilifu wapo wengi tu. Tunawafahamu walio waaminifu na wanaishi vema sana wakiwa waaminifu kwa useja wao, wapo wanaoishi kitakatifu na wanafanya uchungaji vizuri pia.
Wapo wachungaji/na viongozi wa dini nyingine wanaooa pia na kuanguka dhambini pia, hata dhambi za uzinzi na ubakaji. Au unataka nikupe mifano?
Kuoa au kutooa si kigezo cha kuwa waaminifu. Kigezo kikubwa ni kuwa kuna wengine wanaingia huko kama ajira tu wajikimu kimaisha huku wakiwa hawakiamini hicho wanachoishi. Hao wanakuwa na shida wakiwa kwenye dini yoyote ile.
ITEGAMATWI ameliona hili[/QU
NI KWELI
Kwanini wanazuiwa kuoa?
Huyo padri nimesoma nae aisee. Ana miwani ivi mpole, huwezi amini.
aisee,ndo maana michango haiishi siku hiziKumbuka huyu dada alikuwa sister padre alikuwa anamla mzigo toka zamani, akadaka mimba ikabidi avue kilemba. Chanzo cha ugomvi pesa za matunzo ya mtoto wao huyo wa miaka 3.
Hii mada ifungwe haraka sana.....Kwa sababu haioneshi chanzo wala undani wa jambo hilo...Ni uchafuzi wa dini za wengine tu haina tofauti na kudai uislamu ni dini ya shetani bila ya kuwa na ushahidi.
Chezea manyege ww.yan mungu akuumbe mzima alafu ww useme ooh mim padre siduu... Waaaaaap mnatupiaga sana.haya ss mungu kadhihirisha myatendayo.
Sasa hivi ananyea debe kibaha polisi kwa shambulio la kudhuru mwili.
wacha urongo, rini uriacha kura sababu ya kurimendea tunda??
Acha wehu wewe nani kakwambia uislamu ni dini ya shetani,kwani nyie mmelazimishwa kutooa si wenyewe tuu mmeamua kukaa bila wake kwa sababu eti yesu hakuoa,
mnajifananisha na mitume, ona sasa sasa imani zenu zimebaki kwenye kupiga ngozi "K" tuu .
"K" kwa mwanaume mwenye nguvu ni must kama sivyo awe anafunga sana ili kupunguza nguvu mwilini.
sas je mapadre wenu wanafynga? wanakula vyakula vya kuongeza manii kila siku .sasa watayatolea wapi? ufuska,ulawiti jichekini>>>>>
mdau rudia kusoma uzi wa mleta uzi TIQO huyu padre hajaoa na habar haisemi kwamba ni mke wake,habar inasema ni MPENZI WAKE, sasa ww unaleta habar za mke umezisoma wapi,tafuta NIPASHE JUMAPILI LA LEO,
PIA HAPO KWENYE GREEN USISHANGAE SANA MAPENZI YANATAWALIWA NA HISIA,KWAHIYO YEYE HAKUWAZA UNAYOYAWAZA HAYO