funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,405
- 31,912
Great thinkers tuliona wazi kuwa jamaa analazimishia ukaribu na jikoni....ndio maana hukuona tukimsupport humu jamvini.bongo kila mtu anajifanya anapajua jikoni. Hamjui kitu, acheni kudanganyana.