package presentation for CD

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
nimetengeneza presentation flani hivi kwenye powerpoint na nataka kuiweka kwenye cd. nilishawahi fanya hivi mara kadhaa ila nilitumia software flani ivi ku convert hii powerpoint kwenda kwenye video...Ila kuna hii option ya kutengeneza package cd kuotka kwenye powerpoint direct cjawahi jaribu hii..wasiwasi wangi ni je nikitumia hii hiy cd inaweza play kwenye other cd/dvd player zaid ya computer (kwa waliojaribu naomba mnijuze)!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom