Asante sana jamiiforums na wadau wa Tech, Gadgets & Science Forum

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Asante sana kwa Jamiiforums na wadau wake kwa ujumla.

Wadau mmekuwa chachu kwa kila nacho kifanya,maoni yenu na criticism zenu zimekuwa ngazi kwangu kufikia ubunifu wa juu zaidi.

Naahidi nitatenga asilimia 5% ya kila nacho fanikiwa kukiuza,kwa ajiri ya kuchangia jamiiforums.

Baada ya kutoa toleolangu la power bank ya watu wa kunyoa wadau wengi walijitokeza kunipongeza hata wengine walinipigia simu pia wengine wakathububu kunipa oda za kuwatengenezea ingawa hawajawahi kuniona.
Hii ni kutokana na jamiiforums.

Baada ya toleo langu lile la power bank ya mashine za kunyolea wengi walinipa ushauri na maoni mbalimbali ili kuiboresha power bank yangu.Baada ya kutumia muda kufanyia kazi maoni ya wadau nimeweza kutengeneza kifaa hiki kufikia kile ambacho wengi walishauri.

Kwa sasa power bank hizi zimetengenezwa kwa matumizi mbalimbal kutokana na maoni ya wadau.

Mdau wa kwanza alinitumia mahitaji yake akisema hivi.

"Mr transistor mimi nahitaji power bank ya kuwasha taa mbili,TV,king'amuzi na DVD player !Nachotaka Ili kupunguza gharama za maisha nataka power bank hiyo niwe naicharge kwenye gari yangu navyo enda kazini na ninavyorudi kazini,kwakuwa barabarani hua kuna foleni sana nataka energy ile isipotee bure niwe naitumia kucharge power bank baadae niitumie power bank hiyo kwa matumizi yangu nyumbani kuwasha vitu ivyo nilivyo kwambia.Asante."

SOLUTION

Kwa mahitaji hayo nilihitajika kuongeza saketi ya kuchaji kwa mfumo wa gari katika power bank yangu!

Kwa kuwa magari mengi madogo yanatumia Volt 12,ilinilazimu nitengeneze DC to DC converter high current ambayo itakuwa ikiukuza umeme wa gari kutoka 12volt hadi 24volt ili power bank iweze kujicharge pale inapo pachikwa kwenye charging port ya gari(Pale unapo chajia simu yako kwenye gari)

Kazi ilikakamilika vizuri nafurahi kuona mdau anaendelea kufurahia huduma;Anasema gharama ya umeme nyumbani imepungua kwa 50%

Mdau wa pili akasemah ivi;-

"Ndugu Transistor nahitaji sana power bank ya kunyolea;nataka niwe asubuhi naenda nayo kunyoa vijijini maeneo yasiyo na umeme harafu jioni niwe narudi nayo town (saloon inayo tembea),kwa kuwa naamini vijijini ntakuwa nanyoa watu wengi nahitaji uniongezee uwezo wa kutunza umeme wa kifaa chako bila kukiongeza uzito wake ili kibebeke kirahisi.Asante."

SOLUTION

Kwa mahitaji ya huyu mkuu iliniumiza kichwa kidogo,japo mwisho wa siku nikapata solution.

Ilinibidi nitengeneze EMERGENCE EXTENAL BATTERY PORT ambayo ingentumika kupachika battery ya nje kwa kutumia USB-port,battery yenyewe inatakiwa iwe nyepesi kubebeka lakini iwe inaweza kuendesha mashine ya kunyolea kwa muda flani.

Pia emergence battery hiyo ya nje iwe inachajiwa na hiyohiyo power bank.

Hivyo ikabidi niitafute battery ya namna hiyo;Jibu ikawa battery za laptop za zamani zinapatikana kwa bei ndogo kwani kwa sasa zimekosa matumizi;hivyo nikatafuta battery mbili za laptop za zamani ambazobado zina uwezo wa kutunza charge nikazitengenezea mfumo wake wa kuchaji na kuingiza umeme kwenye power bank kwa njia ya USB-port.

Bettaries hizi kila moja ilikuwa na 4.8AH hivyo kwa mbili nitakuwa na 9.6 AH hivyo kwa mfumo uliopo kila battery moja ya laptop itaweza kuwasha mashine ya kunyolea for more than 4 hours hivyo kwa mbili itakuwa 8hours.

Ukijumlisha na 10hours za power bank yenyewe unapata around 20hours of continuous power deliverance!

Hivyo nikawa nimepata emergence battery ambazo ni rahisi kubebeba lakini zinatoa huduma poa kwa power bank.

Mfumo wa batteries hizi wa kuchajiwa na kuingiza umeme katika power bank unatumia mini-USB CABLE hivyo unaweza kuiweka kwenye begi n a kuipachika pale inavyo hitajika kutumik au wakati wa kuichaji.
Zoezi likakamilika vizuri.

Mdau wa tatu;-

"Mkuu naomba nuiundie ambayo nitatakuwa na uwezo wa kuchaji laptop yangu mimi nakaa kijijini."

Mdau wa nneakatuma ujumbe huu;-

"Transistor utaweza kunitengenezea ya kuchaji simu?nataka nifanye kaziya kuchaji simu huku bushi .iwe na uwezo wa kuchaji simu kumi hadi therathini."

SOLUTION

Mdau wa tatu na wane mfumo wao unafanana ivyo wote nikawatengenezea mfumo wa aina moja!

Kutokaana na maitaji haya ya wadau power bank yangu haijawa ya watu wa saloon tu bali sasa imekuwa ikitumika kwa kazi tofauti tofauti.

Hivyo features zimeongezeka kwa sababu ya michango yenu wadau japo kazi inakuwa sio raisi kuyafikia mahitaji ya wadau ila najitahidi ndio mana hata nikirudi nyumbani pia huwa napageuza nyumbani kuwa workshop
Photo0488.jpg
hadi usiku wa manane nikiendele kufikiria namna ya kusolve mahitaji ya wadau kupitia taaluma yangu ya electronis.

Pia nawashukuru wadau wote wanao niamini na kushirikiana nami.

Kwa sasa power bank imesheheni features kibao.

IMG_20140919_190807.jpg
uuy.jpg

Asanteni wanajamii forums.Together as ONE!

Karibuni sana mimi nafanya design tofauti tofauti hivyo kwa ushauri,kubadilishana ujuzi au kijifunza karibuni sana mimi napatikana.

Call : +255-657115587

Office: Segerea Junction near Simba oil
Petrol Station Along Kinyerezi road.

Kwa maeelezo zaidi tembelea blog yangu HAPA
 
Hongera tunataka watu wanaotafuta pesa kwa kuumiza kichwa kama wewe.
 
Specify matumizi gharama zinatofautiana!

Mkubwa mm naitaji JTAG cables
Nimesikia inabidi uwe mtaalamu kidogo kuweza kuitengeneza...

Hii hutumika ku install software kutoka kwenye receiver labda iliyo haribika kupitia JTAG interface
 
Nime ku-PM

Transistor mm naulizia kama ya mdau wa kwanza pale juu ila ambayo inaweza chajiwa na umeme wa kawaida ili umeme ukikata niendelee kutumia kwa ajili ya laptop na taa hiyo inaenda kwa kias gani
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa mm naitaji JTAG cables
Nimesikia inabidi uwe mtaalamu kidogo kuweza kuitengeneza...

Hii hutumika ku install software kutoka kwenye receiver labda iliyo haribika kupitia JTAG interface

Hapana sina hiyo kitu!
 
heko mkuu Transistor. nimefurahi sana kwa ubunifu wako. Mungu abariki kazi ya mikono yako. kwa niaba ya wana tech. nasema tuko pamoja...

usisite kuwasaidia watakaoomba msaada wako ili wote tufikie ndoto zetu
 
Last edited by a moderator:
Nataka inayoweza kucharge laptop simu na redio iwe na option ya kucharge kwa umeme na solar
 
Asante sana kwa Jamiiforums na wadau wake kwa ujumla.

Wadau mmekuwa chachu kwa kila nacho kifanya,maoni yenu na criticism zenu zimekuwa ngazi kwangu kufikia ubunifu wa juu zaidi.

Naahidi nitatenga asilimia 5% ya kila nacho fanikiwa kukiuza,kwa ajiri ya kuchangia jamiiforums.

Baada ya kutoa toleolangu la power bank ya watu wa kunyoa wadau wengi walijitokeza kunipongeza hata wengine walinipigia simu pia wengine wakathububu kunipa oda za kuwatengenezea ingawa hawajawahi kuniona.
Hii ni kutokana na jamiiforums.

Baada ya toleo langu lile la power bank ya mashine za kunyolea wengi walinipa ushauri na maoni mbalimbali ili kuiboresha power bank yangu.Baada ya kutumia muda kufanyia kazi maoni ya wadau nimeweza kutengeneza kifaa hiki kufikia kile ambacho wengi walishauri.

Kwa sasa power bank hizi zimetengenezwa kwa matumizi mbalimbal kutokana na maoni ya wadau.

Mdau wa kwanza alinitumia mahitaji yake akisema hivi.

"Mr transistor mimi nahitaji power bank ya kuwasha taa mbili,TV,king’amuzi na DVD player !Nachotaka Ili kupunguza gharama za maisha nataka power bank hiyo niwe naicharge kwenye gari yangu navyo enda kazini na ninavyorudi kazini,kwakuwa barabarani hua kuna foleni sana nataka energy ile isipotee bure niwe naitumia kucharge power bank baadae niitumie power bank hiyo kwa matumizi yangu nyumbani kuwasha vitu ivyo nilivyo kwambia.Asante."

SOLUTION

Kwa mahitaji hayo nilihitajika kuongeza saketi ya kuchaji kwa mfumo wa gari katika power bank yangu!

Kwa kuwa magari mengi madogo yanatumia Volt 12,ilinilazimu nitengeneze DC to DC converter high current ambayo itakuwa ikiukuza umeme wa gari kutoka 12volt hadi 24volt ili power bank iweze kujicharge pale inapo pachikwa kwenye charging port ya gari(Pale unapo chajia simu yako kwenye gari)

Kazi ilikakamilika vizuri nafurahi kuona mdau anaendelea kufurahia huduma;Anasema gharama ya umeme nyumbani imepungua kwa 50%

Mdau wa pili akasemah ivi;-

"Ndugu Transistor nahitaji sana power bank ya kunyolea;nataka niwe asubuhi naenda nayo kunyoa vijijini maeneo yasiyo na umeme harafu jioni niwe narudi nayo town (saloon inayo tembea),kwa kuwa naamini vijijini ntakuwa nanyoa watu wengi nahitaji uniongezee uwezo wa kutunza umeme wa kifaa chako bila kukiongeza uzito wake ili kibebeke kirahisi.Asante."

SOLUTION

Kwa mahitaji ya huyu mkuu iliniumiza kichwa kidogo,japo mwisho wa siku nikapata solution.

Ilinibidi nitengeneze EMERGENCE EXTENAL BATTERY PORT ambayo ingentumika kupachika battery ya nje kwa kutumia USB-port,battery yenyewe inatakiwa iwe nyepesi kubebeka lakini iwe inaweza kuendesha mashine ya kunyolea kwa muda flani.

Pia emergence battery hiyo ya nje iwe inachajiwa na hiyohiyo power bank.

Hivyo ikabidi niitafute battery ya namna hiyo;Jibu ikawa battery za laptop za zamani zinapatikana kwa bei ndogo kwani kwa sasa zimekosa matumizi;hivyo nikatafuta battery mbili za laptop za zamani ambazobado zina uwezo wa kutunza charge nikazitengenezea mfumo wake wa kuchaji na kuingiza umeme kwenye power bank kwa njia ya USB-port.

Bettaries hizi kila moja ilikuwa na 4.8AH hivyo kwa mbili nitakuwa na 9.6 AH hivyo kwa mfumo uliopo kila battery moja ya laptop itaweza kuwasha mashine ya kunyolea for more than 4 hours hivyo kwa mbili itakuwa 8hours.

Ukijumlisha na 10hours za power bank yenyewe unapata around 20hours of continuous power deliverance!

Hivyo nikawa nimepata emergence battery ambazo ni rahisi kubebeba lakini zinatoa huduma poa kwa power bank.

Mfumo wa batteries hizi wa kuchajiwa na kuingiza umeme katika power bank unatumia mini-USB CABLE hivyo unaweza kuiweka kwenye begi n a kuipachika pale inavyo hitajika kutumik au wakati wa kuichaji.
Zoezi likakamilika vizuri.

Mdau wa tatu;-

"Mkuu naomba nuiundie ambayo nitatakuwa na uwezo wa kuchaji laptop yangu mimi nakaa kijijini."

Mdau wa nneakatuma ujumbe huu;-

"Transistor utaweza kunitengenezea ya kuchaji simu?nataka nifanye kaziya kuchaji simu huku bushi .iwe na uwezo wa kuchaji simu kumi hadi therathini."

SOLUTION

Mdau wa tatu na wane mfumo wao unafanana ivyo wote nikawatengenezea mfumo wa aina moja!

Kutokaana na maitaji haya ya wadau power bank yangu haijawa ya watu wa saloon tu bali sasa imekuwa ikitumika kwa kazi tofauti tofauti.

Hivyo features zimeongezeka kwa sababu ya michango yenu wadau japo kazi inakuwa sio raisi kuyafikia mahitaji ya wadau ila najitahidi ndio mana hata nikirudi nyumbani pia huwa napageuza nyumbani kuwa workshop
View attachment 186819
hadi usiku wa manane nikiendele kufikiria namna ya kusolve mahitaji ya wadau kupitia taaluma yangu ya electronis.

Pia nawashukuru wadau wote wanao niamini na kushirikiana nami.

Kwa sasa power bank imesheheni features kibao.

View attachment 186816
View attachment 186818

Asanteni wanajamii forums.Together as ONE!

Karibuni sana mimi nafanya design tofauti tofauti hivyo kwa ushauri,kubadilishana ujuzi au kijifunza karibuni sana mimi napatikana.

Call : +255-657115587

Office: Segerea Junction near Simba oil
Petrol Station Along Kinyerezi road.

Kwa maeelezo zaidi tembelea blog yangu HAPA

Hongera sana kaka kwa kazi njema unayoifanya, naamin hiyo yote ni kutokana na hustle zako maana najua elimu ya class huwa ni theory kwa asilimia nying, kujituma kama hivyo kuna develop skills za kutosha!
 
Back
Top Bottom