Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,319
- 15,808
Very sadMtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022.
Kufika walipo waliofanikiwa mistake haziepukikiNilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hata mbuyu ulianza kama mchichaKufika walipo waliofanikiwa mistake haziepukiki
Duh Nakadori umetoa boko sanaa, hata huko ulaya walianza kama ivi zipo zilizo fanikiwa na zipo zilizo fail,Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Ivi vitu ni sayansi sanaHili boko langu hata mm nimelishangaa sana imekuwaje
Kwa hiyo nawewe ni great thinker[emoji706]haya ni kina nani wapo siriaz?Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hata mi ningeshangaa,watoboe wote mmm ingekuwa maajabuNilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hakuna cha Mungu hapo hatujafikia level za kufanya hizo operationNaomba kuuliza na kifo cha mtoto huyo kimepangwa na Mungu. Mbona Mungu karuhusu watoto wadogo wateseke hivyo.
Kama kiumbe kinaumbwa nae kwa nini awaumbe wameungana?
Duhh!Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Miezi saba watoto wazima kabisa wamefanyiwa upaduaji wiki nyingi....Operation ilikuwa successful wataalamu wetu kwa kuongozwa na Mungu wanapaswa kupongezwa, hiki kilichotokea hatupaswi kuwalaumu hata kidogo, Bwana amfariji mama wa mapacha hao na mmoja aliyebaki amlinde na kumpa maisha marefu
Hivo ulisubiri tatizo litokee ndo uanze kukosoa?,punguza ujuaji wa kijinga hata huko unapoona ni bora huwa mambo kama haya yanatokea sana tu[emoji706][emoji706][emoji706]Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Mimi pia.Duhh!
Hii ni Moja ya comment ya ajabu nliyoisoma kwa mwaka huu kutoka jukwaa la wasomi😔😔