Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Mnasikiliza miziki ya shetani inayowafanya watu wengi wamtumikie kwa kutenda dhambi... miziki inayochochea ngono, starehe na kutenda dhambi... kueni macho wengi hamta uona ufalme wa Mungu kwa ajili ya hii miziki ya kidunia

Diamond hakualikwa kwenye ile harusi. Aliingia kwa kutumia kadi ya Davido ambayo ilikuwa double.mavazi yake tu yalionesha ni jinsi gani hakustahili kuwepo eneo lile.
"Usihukumu"Hao p squire hawakupeleki popote zaid ya kukuchochea kutenda dhambi
hahaahaa ubahili hadi kwenye kusimulia...... LOL:smile-big:
Mtumikie shetani na siku ya mwisho utaishia ziwa la moto
Mshahara wa dhambi ni mauti
Hao p squire hawakupeleki popote zaid ya kukuchochea kutenda dhambi
Wewe nitukane biblia imesema watukanao hawatouona ufalme wa Mungu... tubu mapema
Mnasikiliza miziki ya shetani inayowafanya watu wengi wamtumikie kwa kutenda dhambi... miziki inayochochea ngono, starehe na kutenda dhambi... kueni macho wengi hamta uona ufalme wa Mungu kwa ajili ya hii miziki ya kidunia
leo ndio hawa jamaa kulwa na Doto wanatumbuiza mamia ya wana Dsm,kwa sisi tulio mikoani tunaikosa burudani hiyo.
Wale mnaohudhuria show hiyo tupeni UPDATES ya kinachoendela kutoka huko
kitendo cha wafanyakazi wanao husiwa kuwa wa CLOUDS FM kutangaza Kwamba , show ya P Square itavamiwa na AL SHabaab lazima kilaniwe na wapenda amani wote . CLOUDS FM imeishiwa mawazo na wamekuwa kama chama tawala. Uhuni wa kipumbavu umewajaa.
hii nafikiri ni show ya watu wenye uwezo wa kuimba live.
unataka kufungua kanisa jf.ndio shida ya walokole vipi utulazimishe mbinguni wakati sisi hatutaki.-------Wewe nitukane biblia imesema watukanao hawatouona ufalme wa Mungu... tubu mapema
Kumbe shetani siku hizi ni mwanamuziki.
haya bana bendi yake kama square asa ye pacha wake ni rose mhando au.Sio siku hizi tu,tangu akiwa mbinguni alikuwa anaimba sana,kabla ya kufukuzwa