Shetani pia ana mahema yake ambayo anawakusanya watu wake washerehekee pamoja.
ni burudan tu huku..........
tehe....
na mi nimecheka tu ngoja mapacha wapande tu jukwaani hapa..........sijui saa ngapi
kuko mzuka tu hapa ndani
my dia sister uko pande hii???
Jamaa wamelipwa Dola laki 2 Jaydee na prof J milioni 6 Kila mmoja..... Benpoul Milioni 4 na Joh makini milioni 3.... Wasanii wa Tanzania wana kazi kubwa sana ya kuongeza thamani yao..
yap mwaya......umekalia pande zipi we can meet ujue