P.o.m.b.e

P.o.m.b.e

He he he kweli panapo ongezeka matatizo bar elekea.....nice one ndugu
 
Asanteni sana waungwana kwa hivyo virefu, nilikuwa na kipindi na watoto kanisani na wameifurahia sana Poor Ones Must Be Eliminated, ila sasa mmoja akanipa kali kuliko; eti CASTLE stands for Christians Are Supposed To Love Everyone. Hapo kipindi kikaharibika.
 
Back
Top Bottom