The Librarian
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 242
- 198
kuna majina mengine ya wasanii naishia kuyasoma tu jf, kama huyo whozu hata single yake moja siijui


. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.