P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Inama nkusweke hhhaa!! Fuatilia Uzi...hizo 100mW ilikuwa fikra tu zamuanzisha uzi, sio kweli
 
Nchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Nimekufuatilia sana nikajua utakuwa na kitu cha maana cha kusema nilichoona ni mipasho tu... Mwisho nikagundua kumbe we ni boya tu
 
Nimekufuatilia sana nikajua utakuwa na kitu cha maana cha kusema nilichoona ni mipasho tu... Mwisho nikagundua kumbe we ni boya tu

Tangia lini ' Mpuuzi / Popoma ' akamuelewa ' Mwerevu ' aliyetukuka?
 
Mwambie Rwanda ndo ulikozaliwa na ndio kwenu.
 
Hiyo Megawatts 100 ni Umeme unaitumiwa na nchi ya Rwanda, hivyo hata huo wa ktk Kongo na kwingineko unafanya hiyo 100 MW!
Data za wapi hizo,tupe source.
Mpaka mwaka 2018,Rwanda walikuwa wanazalisha 218 MW.Link hiyo hapo chini.
 
Naona amekimbia ha ha
Nae inaelekea hajui akina nani wana IQ kubwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…