Nchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Bado unazunguka tu, Mada inahusu uwezo wa Unyarwanda kutumia Umeme wa 100 MW tu, sasa inawezekana vipi? Hivyo viwanda tunavyoambiwa, vinatoa wapi huo umeme? Ndicho ninachotaka kusikia na wala siyo TZ yetu vs Unyarwanda!
Mna akili kubwa za namna Gani ?hehehehehNchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Rwanda ni bomu la kutegwa ardhini, linasubiri mtu aliguse tu lilipuke. Na likilipuka madhara yake ni makubwa.Mna akili kubwa za namna Gani ?heheheheh
Ngojeni wahutu wapatw upenyo tena hahahahah
Rwanda ni bomu la kutegwa ardhini, linasubiri mtu aliguse tu lilipuke. Na likilipuka madhara yake ni makubwa.
Ukatili anaoufanya PK na ambavyo anakandamiza free speech vitakuja kulipuka vibaya sana. Hawa Wahutu walio 85% na hawana sauti kwenye nchi yao wanahifadhi duku siku haya sana.
Kule kwetu kwa mtogole hili ndo linaitwa chambo!Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
anajiMWAMBAFY tuAmakuru ? Umezute tse? Yaani kwa akili yako unadhani Kagame pale anacheZa na hafanyi kazi?
Nchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Mpaka mnaimport wabunge toka Rwanda(mb Kiteto)Hivi Popoma unawezaje kusema Wanyarwanda wana akili kuliko sisi Watz? Kamal wangekuwa na akili, wangeuana kwa tofauti za kukabila? Wangekuwa wanasalitiana na kuzunguka dunia nzima kuchafuana?
Huko CT mlienda kusomea umbumbumbu au?Nchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Si bora Sisi tumechukua mbunge. Wao tumewaazima mtaalamu kabisa Prof. Rwakabamba akawa na waziri kabisa..akaingia kwenye kabineti. Kama ni trick basi tumewapiga parefu. Kuingia kabineti sio sawa na kuingia bungeni.Mpaka mnaimport wabunge toka Rwanda(mb Kiteto)
Nawao wame wapa Presde nani zaidiSi bora Sisi tumechukua mbunge. Wao tumewaazima mtaalamu kabisa Prof. Rwakabamba akawa na waziri kabisa..akaingia kwenye kabineti. Kama ni trick basi tumewapiga parefu. Kuingia kabineti sio sawa na kuingia bungeni.
Ndio vizuri kukaa na kujidanganyaHuna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.