Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.

ht wao hawaamini km huku kuna mtu anatenda miujiza
Elezea kuhusu 100 MW kwa watu zaidi ya milioni 11 plus Viwanda, hiyo logic ya kawaida sana!
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Elezea kuhusu 100 MW kwa watu zaidi ya milioni 11 plus Viwanda, hiyo logic ya kawaida sana!
Wewe mwenye 1500 MW umeweza hata Kuutumia tu huo Umeme ili uwe na Viwanda vyako vya Kutengenezea Chupi za Wananchi wako kiasi kwamba hadi hivi leo uachane na Kutegemea Chupi za Mitumba zinatoka katika Viwanda vya wenye Akili zao huko Ulaya? Wakati mkiteseka na Rwanda yenyewe inazidi Kuwakimbia Kimaendeleo na Kimkakati huku nyie mkibaki kupiga tu ' mark time ' Kimaendeleo hadi leo wakati hata kupata Uhuru mliwatangulia Warwanda.
Uwiiii! Elezea jinsi unavyoweza kugawa 100 MW kwa > watu milioni 11 + Viwanda, acha mipasho kama ukipenda!