Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Yule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma P-funk majan amedai Fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya Fid q
Wawili hao ambao tayari wamerecord ngoma ya pamoja iitwayo mvua dude kali ambalo muda wowote litaachiwa hewan linalosubiliwa na mashabiki kwa hamu na mali. Fid q naye alimshukuru sana majan na kumwambia yeye ana mchango mkubwa sana kwenye mziki wa bongo
Kwa hiyo tukae tayali kulisubiri dude kali ngoma hatari kwa jina la mvua muda wowote litaachiwa