P DIDY wa Maimatha afariki dunia

Mungu awape faraja wafiwa ktk kipindi hiki kigumu. Ilale roho ya marehemu mahali pema peponi,Amin.
 
I dont know him but he was too young to die...it is not easy for his Mchumba Maimatha...i cant imagine her pain...
RIP Bro
 
Kuna redio moja ambayo watangazaji wake mara nyingi hawapo serious (Guess ni redio gani?), wametangaza kuwa Pdidy amefariki lakini bila kusema Pdidy wa Tanzania.
Basi mi nikajua ni Sean Combs wa America.
 
binafsi nilifanikiwa kupita maeneo ya meeda nikawakuta wakongo flani wengi kweli wakimletea noma mtu mmoja ambaye sijui kama ndo marehemu au la wakidai malipo na yeye alimpigia mtu mwingine cm na kumwambia mbona ukufikisha hzo pesa bwana mpaka mimi nataka kupigwa, bas mimi nikaenda zangu asa ukizingatia sio mdau wa wakongo wa hapa bongo. ila all in all.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, amina
 
kuna redio moja ambayo watangazaji wake mara nyingi hawapo serious (guess ni redio gani?), wametangaza kuwa pdidy amefariki lakini bila kusema pdidy wa tanzania.
Basi mi nikajua ni sean combs wa america.


yaudaku iko moja tu


clouuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuudsss effffffffffffffffffffuuuuuuuuuuuuueeeemmmmmm
 
P DIDY, MUNGU akulaze mahali pema peponi, nakumbuka tabasamu lako wakati tukiwa Mugeza secondary, najua kwa imani tutakutana tena kwenye hayo maisha baadaya kifo hapa duniani, poleni wafiwa wote.
 
Kuna redio moja ambayo watangazaji wake mara nyingi hawapo serious (Guess ni redio gani?), wametangaza kuwa Pdidy amefariki lakini bila kusema Pdidy wa Tanzania.
Basi mi nikajua ni Sean Combs wa America.

Lack of seriousness, hizi kazi zinawenyewe, wengine wavamizi tu.
 
Baadhi ya wafiwa wakilia kwa uchungu kwenye msiba wa ndugu yetu P.Diddy poleni sana na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.

IMG_1979.jpg IMG_1994.jpg IMG_1986.jpg
 
Msiba upo kwao pale Kinondoni A manyanya nyuma ya MWANAMBOKA Petrol Station, na mazishi ni kesho Ijumaa saa 10 kamili jioni kwenye makaburi ya Kinondoni ila ratiba nzima inaanza ivi - saa 8:30 watu tunaenda Muhimbili Hosp kutayarisha Mwili. saa 11:30 ni Chakula. saa 12:00 kuingia mwili nyumbani. saa 1:00 ni wasifu wa Marehemu na kuaga mwili nyumbani. saa 3:00 ni ibada ya misa takatifu pale nyumbani. saa 4:00 ni mazishi makaburini. saa 5:00 ni kuweka Mashada na neno la Familia. MWISHO! Kwa wale wenye kuhitaji maelekezo yoyote au wenye nia ya kutoa Mchango wao au chochote kile wasisite kunitaarifu kupitia 0655 705 055.

Source: KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:


Huo muda nadhani ni wa ki-inglish..
 
Poleni sana wafiwa kwa msiba huo mkubwa uliowapata,Mungu amempenda zaidi kuliko nyie,muombeeni.

Acha kumsingizia Mungu, hahusiki na kifo cha mtu, kwanini Biblia itaita kifo ni adui wa mwisho kuondolewa na Mungu. Huu usemi ni mapokeo ya dini hauna maana yoyote. Tuiombee familia iweze kukabiliana na hali hii katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpedwa wao. Ni zahiri kuwa Mungu ata mfufua katika paradiso ijayo.
 
this chap became famous shortly, alikua anafanya shuhuli gani kwani hapa mjini?
 
dah hiyo style ya kifo chake imenihuzunisha mnoo! R.I.P bro
jamani inabidi tujinge zaidi na Mungu kwani hatujui
siku wala saa tukae mbali na ufirauni,
poleni sana wafiwa
 
Back
Top Bottom