P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Kwahiyo kama mama yako anavaa bikini na wewe utavaa bikini kumuenzi?

Huo ni ushoga aisee..mwanaume unatoga nyusi na pua vipini kama malaya wa tabata

Kwa Bongo hasa mwanamke kuvaa kipini ni sign mbaya sana ,awali nilikuwa nasikia kwamba wanawake wanaovaa vipini wamekanyaga "grid" nikawa siamini ila kuna binti kitaani najua ameungua maana alikuwa analiwa na jamaa aliyeungua wa "Makumbusho" ,Juzi nilikutana yupo yeye na rafiki yake demu mwenzake wote wamevaa kipini nika-confirm aiseee.
 
Anawarekodi wakiwa wanafanya nini hao wageni wake hapo nyumbani kwake ?
Ikiwa ni kweli ,hizi shutuma za human trafficking na prostituion ni kweli , Pdidy ana wakati mgumu sana , hizi kesi hazijawahi kuacha mtu salama pale Marekani , kuna watu wakubwa kibao hapo hollywood na kwenye music industry wameozea lupango kwa hizi ishu , mfano ni Harvey Weinstein ,R Kelly nk , Jefrey Epstein na Ghislaine Maxwell pia alifungwa kwa ishu kama hizo ,za kufanya biashara ya ngono na trafficking ya watoto wadogo kutumika katika madanguro ya siri ,na wateja wakubwa ni watu powerful duniani .
Hata Epstein alikuwa anawaalika akina Bill gates nk kwenye hayo madanguro kwenda kufanya ufedhuli wa ibada za ngono na homosexualities rituals kwenye hayo majumba
Ndio sababu hata ya Melinda Gates kuachana na Bill .
Hii dunia ione tu hivi , utajiri na fame watu wanapata kwa njia zao za giza wanazojua
 
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.

Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.

Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.

Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.

Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.

Karma is a B*itch.
Kitupi jamaa ni basha
 
Anawarekodi wakiwa wanafanya nini hao wageni wake hapo nyumbani kwake ?
Epstein alikuwa anawarekodi hao clients wake wakati wakifanya ngono na watoto wadogo kwenye majumba yake kule New Mexico na New York na baadaye kutumia hizo videos kushinikiza analolitaka ,kama ni pesa au kitu chochote .
Hadi mtoto wa queen Elizaberth ,yule prince Andrew ana kashfa nzito ya kuhusika kwenye hizi sexual orgies na watoto wadogo kwenye mojawapo ya jumba la Epstein .
Na si huyo tu ,wapo watu wengi kibao matajiri na watu wenye influence duniani kwenye ile Epstein. Clients list .
Mi kwamba tu kuna baadhi ya watu wanafichwa maana ikitolewa yote , hapata kalika .
Ni balaa na nusu ,maana hata kifo chake kule gerezani ,huyo Jefrey Epstein kilikuwa cha utata sana , ni mambo ya ajabu na uhuni kama unaofanyika hapa Tanzania kwenye vituo vya polisi kwamba mtu ajinyonge gerezani , yawezekana waliamua kumtoa kafara ili kuficha baadhi ya mambo maana kuna watu powerful zaidi walikuwa clients wake so kuficha ukweli zaidi wakaamua kumuua gerezani
 
Kwa Bongo hasa mwanamke kuvaa kipini ni sign mbaya sana ,awali nilikuwa nasikia kwamba wanawake wanaovaa vipini wamekanyaga "grid" nikawa siamini ila kuna binti kitaani najua ameungua maana alikuwa analiwa na jamaa aliyeungua wa "Makumbusho" ,Juzi nilikutana yupo yeye na rafiki yake demu mwenzake wote wamevaa kipini nika-confirm aiseee.
Endelea kukomfim halafu tuletee mrejesho
 
Ina maana ni mchicha mwiba,kusema kampanda 50 cent wala snoopy haiingii akilini.
Hata Mayweather eti na Tyson Wtf?
Ila vibwamdogo anaweza maana vilikua vinatafuta fursa.
Masikini hana kiapo na wala hashauriki....vijana wakiwa wanatafuta majina au kutoka kimuziki wapo tayari kuuza roho kufanya chochote kile ili watoboe
 
Ikiwa ni kweli ,hizi shutuma za human trafficking na prostituion ni kweli , Pdidy ana wakati mgumu sana , hizi kesi hazijawahi kuacha mtu salama pale Marekani , kuna watu wakubwa kibao hapo hollywood na kwenye music industry wameozea lupango kwa hizi ishu , mfano ni Harvey Weinstein ,R Kelly nk , Jefrey Epstein na Ghislaine Maxwell pia alifungwa kwa ishu kama hizo ,za kufanya biashara ya ngono na trafficking ya watoto wadogo kutumika katika madanguro ya siri ,na wateja wakubwa ni watu powerful duniani .
Hata Epstein alikuwa anawaalika akina Bill gates nk kwenye hayo madanguro kwenda kufanya ufedhuli wa ibada za ngono na homosexualities rituals kwenye hayo majumba
Ndio sababu hata ya Melinda Gates kuachana na Bill .
Hii dunia ione tu hivi , utajiri na fame watu wanapata kwa njia zao za giza wanazojua
Nyie mnaona jamaa anauza antivirus kumbe anafeerana na watoto kwa siri ili hela ziongezeke😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom