kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,068
- 18,073
Ipi mkuuKuna mambo ni mazito sana Mkuu, kuna kashfa za Mahatma Ghandi aisee huwezi kuzania kabis ila ndio wanadamu tuna mambo mengi.
Ipi mkuuKuna mambo ni mazito sana Mkuu, kuna kashfa za Mahatma Ghandi aisee huwezi kuzania kabis ila ndio wanadamu tuna mambo mengi.
Mi mwenyewe najiuliza kivipi, Jamie yuko connected kitambo kabla ya mastar wengi, nadhani watu hawamfahamu vizuri Jamie Fox.Kivipi?
P didy kazaliwa kamkuta foxx ana hela ndefu tu.
Jamie foxx hata hizo kashfa za kishoga hana.
Naskia hadi floyd Mayweather hajapona. Hivi Diddy ana ujasiri gani? Hadi meiweza this is too much.Nlimsikia bodyguard wake anasema kuna siku walienda supermarket jamaa akawa ananunua but plugs alafu walikuwa na li party na ja rule aisee
Suge knight anadai yuko kwenye lichama flani hivi kama illuminati. Licha ya kafara pia utatuaji marinda ni ibada.Anapata faida gani kuwala wenzake ?
Marekani kuna mamboMama wa Jay Z naye anasaga mabinti. Sijui kama atakuwa kamkosa Beyonce
hawashindwi kusema hadi The RockMafala humu watasema "Nasikia hadi Obama"
Lili wayne na drake vip wameponaLabda Kanye west. Ila na wasiwasi Jay z hajapona.
Kwanza walivyokomaa misuli hadi kwenye tako unashika wapi paleStory za ushoga ulaya kila staa chouko
mimi wale wa WWE yani umle BATISTA na Triple H
nkasema uongo huu
Si ndo hapo,Diddy kamkuta yule ana hela ndefu tu na maarufu huko Hollywood.Mi mwenyewe najiuliza kivipi, Jamie yuko connected kitambo kabla ya mastar wengi, nadhani watu hawamfahamu vizuri Jamie Fox.
wanadamu wengi huwa wanapenda kujisifu au kusifiwa namna hii. na siku hizi shetani alianzisha watu kuitana "mwamba", bila kujua kuwa kwa kufanya hivyo watu wanamtukuza sheteni, wanaiba utukufu wa Mungu na kuwapa waandamu. kwa msio jua, Mwamba ni Mungu, hakuna mwanadamu mwamba.P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.
Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.
Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.
Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.
Karma is a B*itch.
Usiniambie kwamba Fifty nae anakazwa.Wale wa early 90s na late 80s tunamkubali sana 'Msomali' Sean Combs a.k.a Diddy
Mwamba ni mtu wa house parties sana ila after party ni kufumua marinda wenzake
50 cent kwa muda mrefu amekuwa akisema jamaa ni basha
Siku moja kwenye interview Diddy akaulizwa kuhusu hizo tuhuma niliona anababaika kujitetea
Ya leaf-knot au timber-hitch?
Basi kila mtu US ni pungaMafala humu watasema "Nasikia hadi Obama"