Oyo wenyewe mpo??

Oyo wenyewe mpo??

mtaharibu sana, maana kazi hazitaenda

Kuna dogo mmoja alipata hiyo kitu enzi zile za tambaza akaishia kukata gogo kila baada ya dakika kumi kwa siku nzima:A S 13::A S 13:
basi alikuwa anakula sana,ambao hawali vizuri mpaka wanakonda
 
We Mwali wewe nawe kumbe hawavumi lol!
Mi nimesema from experience ya watu wa karibu yangu.
Kuna vitoto tunavisaidia kumaliza addiction,
lazima tuzijue, tuzitambue pros and cons kabla ya kuwashahuri
 
kumbe ndo maana nilikua na mzuka wa jf leo tena j photos,
2nakiita cha ''****, th legend of stress''
nilivyokiona 2 mpaka nkatetemeka dahaaaa
KIDUMU
 
Ohooooo!!! Kitu cha A-town hicho mkuu. Ngoja niwaite wadau waje wakishughulikie kikamilifu.
 
Inanikumbusha wakati huo nachoma kuna jamaa mmoja alikua ananiuzia sijui ni marehemu alikua anajiita BOB MAZISHI! Alikua anapatikana maeneo ya Sanawari hapa Arusha!

bob mazishi yule mlevi aliyekuwa anasuka vikapu au ? Duh umenikumbusha mbali sana.
 
Mara ya kwanza kula nyasi nilipata wenge la ajabu . Sitakaa nisahau nilikunywa maji ya kutawazia chooni baada ya kushikwa na kiu ya ajabu .
 
Mara ya kwanza kula nyasi nilipata wenge la ajabu . Sitakaa nisahau nilikunywa maji ya kutawazia chooni baada ya kushikwa na kiu ya ajabu .

mkuu inawezekana we hiyo hiyo mara ya kwanza ulivuta pafu za kutosha
 
kumbe ndo maana nilikua na mzuka wa jf leo tena j photos,
2nakiita cha ''****, th legend of stress''
nilivyokiona 2 mpaka nkatetemeka dahaaaa
KIDUMU
dah mkuu inaonekana una mauzoefu ile mbaya.....KIDUMU
 
mkuu inawezekana we hiyo hiyo mara ya kwanza ulivuta pafu za kutosha

nilivuta pafu za kufa mtu alafu washkaji wakanidanganya nizumulie na fegi . Hakyanani nilijua ndio nimekuwa kichaa flat out . Duh nikikumbuka nachekaga mwenyewe.
 
Bangi ni bangue niweze kumwona invizibo laivu .
 
unagonga tu kimtindo
TOSH anakwambiaaa legalize it...bob anakwambi kayaa man...culture say marijuana..i & i call it meditation,green grass direct from GOD.MOST WANTED GRASS
 
Back
Top Bottom