Oyo wenyewe mpo??

kuna jamaa yangu alikula hii hii makitu, nikamkutta getho amechoka, nikamuuliza kwa nini unapiga hii kitu?? .......

images
images
 
Inanikumbusha wakati huo nachoma kuna jamaa mmoja alikua ananiuzia sijui ni marehemu alikua anajiita BOB MAZISHI! Alikua anapatikana maeneo ya Sanawari hapa Arusha!
 
Inanikumbusha wakati huo nachoma kuna jamaa mmoja alikua ananiuzia sijui ni marehemu alikua anajiita BOB MAZISHI! Alikua anapatikana maeneo ya Sanawari hapa Arusha!

mkuu mi nilikuwa na mshikaji wangu mitaa ya usa river....alikuwa anaitwa bob manyasi,mshikaji anaziwezea sana
 
hapo ukipiga pafu moja mpaka unaona kizunguzungu
Pafu moja tu mwanamme ? unatia aibu nilikuwa na demu anavuta 2 halafu kitanda kinachangamka usipime lol!

Unahishi wapi ambapo hizo hazipo?
Hata hivo nahisi hii ni sigara ya kawaida tu, zile za kuroll mwenyewe.
Si unaona the stuff filled in ilivo brown na sio greenish?
We Mwali wewe nawe kumbe hawavumi lol!
 
Kitu cha Malawi hicho!

kama si Arusha, kitakuwa cha Kigoma

kituuu cha ulikokolaa kwa bibi fisi....''THEY CALL IT KING OF FOREST BABYLONS THEY DON LIKE IT..."

Nyie "watoto" mnamaanisha bangi?

Tatizo lenu mnatumia vitu vilivyovundikwa kwenye mashimo ya choo na kutengeneza ujirani na kinyesi, ndiyo sababu mnapata madhara.

Njooni kwetu muone, sisi majani ni mboga murwa haina mfano (so nutritious and delicious) na mbegu zake kiungo kama vile karanga na mbegu za maboga. Hatupati shida. tunapanda shambani pamoja na mahindi na maharage wala serikali haifanyi lolote; inajua ni chakula murwa kwetu. Hatuvuti na kuipuliza.

aaah.kwa wazee akishushia na ulasi ( nyie wa mjini mnaita ulanzi, siyo jina lake hili. jina sahihi ni ulasi)
 
Wakuu hii kitu ni noma,wakati nikiwa form 6 kuna washikazi zangu wawili,wao wanavuta kinoma,mmoja unakuta anakuomba daftari aandike notes,yaani kila siku akipiga anarudia kuandika yale yale aliyoandika,mwingine tuliingia uwanjani ye alikuwa beki wa kwa upande wangu halafu mi goli kipa,ilikuwa kombe na wanakijiji,jamaa alipewa pasi halafu akapiga shuti na kunifunga,nikamwuliza kwa hasira umefanya nini?yaani unataka tushindwe..?akanijibu ''' tumeingia uwanjani kutafuta goli,ebu angalia nje ya uwanja watu hawanishangilii?hawanipigii makofi?.....nikabaki naduwaa
 
Au uwe na mpenzi kazini basi.......!!!

mtaharibu sana, maana kazi hazitaenda

Kuna dogo mmoja alipata hiyo kitu enzi zile za tambaza akaishia kukata gogo kila baada ya dakika kumi kwa siku nzima:A S 13::A S 13:
 
Pafu moja tu mwanamme ? unatia aibu nilikuwa na demu anavuta 2 halafu kitanda kinachangamka usipime lol!

We Mwali wewe nawe kumbe hawavumi lol!

wale wa kuwafundisha moja inatosha,ila wazoefu hiyo haitoshi
 
Nyie "watoto" mnamaanisha bangi?

Tatizo lenu mnatumia vitu vilivyovundikwa kwenye mashimo ya choo na kutengeneza ujirani na kinyesi, ndiyo sababu mnapata madhara.

Njooni kwetu muone, sisi majani ni mboga murwa haina mfano (so nutritious and delicious) na mbegu zake kiungo kama vile karanga na mbegu za maboga. Hatupati shida. tunapanda shambani pamoja na mahindi na maharage wala serikali haifanyi lolote; inajua ni chakula murwa kwetu. Hatuvuti na kuipuliza.
kwani stimu zake zikoje?
 
Back
Top Bottom