Oya, mapenzi Shikamoo

Oya, mapenzi Shikamoo

Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
Haupo peke yako mkuu. Mwezi huu nimepigwa chini na mademu wawili kwa mkupuo. Tukaze tu kutafuta chambichambi hamna namna nyingine zaidi ya kukubaliana na uhalisia😔😔😔😔
 
Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
Hujielewi hujakua bado, mwanaume aliyejiandaa na majukumu ya mahusiano hawezi ongea oya, jitakari kwa nini umeachwa akili yako haijakomaa na huna hela. Shangazi said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom