bora urudie mtihani wa darasa la saba ili ufahulu angalau upate ka chet form 4 tunachoka na tafiti zako za local
bora urudie mtihani wa darasa la saba ili ufahulu angalau upate ka chet form 4 tunachoka na tafiti zako za local
Wewe zombi kinachokukela ni kitu gani? kama unaona ukabaliana na utafiti wangu pita kushoto. wewe ni kama nani jf,
Kwa hiyo wewe kama ni member wa jf, uwe unanipagia namna ya kuanzisha thread. ni utafiti wangu na wewe kafanye wako.
What is overconfidence?
What's the source?
What are the symptoms of overconfidence?
How can we overcome the 'problem'?
Sijui kama kakuelewa huyu Kanyaboya... Oyaaaa wakwetu Shyland njoo huku ujibu hii coment ya kwenye sredi yako...
Hahahaha... Standard seven ni shiiiida kwa dunia ya sasa.. Uwezo mdogo wa kufikiri..