Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
hao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........
wadada wanawatamani halafu hao hao wanakuja kukung'utwa nao
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn
ndio upendo huo. kwani akikupiga ngumi na akikulalia juu wakati wa kukugegeda kuna tofauti gani ? zote si unachoka
ndio upendo huo. kwani akikupiga ngumi na akikulalia juu wakati wa kukugegeda kuna tofauti gani ? zote si unachoka
short and clear hawatahiriwi
hao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........
short and clear hawatahiriwi
Wapo peace sana hao jamaa tatizo lao tu ni hilo tu la kupiga lakini mpaka akukung'ute ni mmemwonyesha dharau za hali ya juu sana na amevumilia yamemfika, jamaa yanajua kujali familia zao ikiwa kuhakikisha zinaishi maisha mazuri achana hawa wa mjini wanapenda kutisha watu kila mkimchokoza anakuambia "mie Mkurya shauri yako lakini wenyewe huwa hawana story ndefu". Alafu sio wanafiki akisema hapana maana yake hapana na akisema ndiyo ni ndiyo kutoka moyoni sio kama wenzangu na mie unakuta unachekacheka kumbe moyoni unalako jambo. Ukifanikiwa kutembelea Tarime utajionea mwenyewe japokuwa jamii ya Watz wengi wanawatambua kama ni wakorofi lakini si kweli kwamba ni wakorofi kivile mpaka uingie kwenye 18 zakehao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........