Over confidence? No please!

Over confidence? No please!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413623058136.jpg
 
Subiri akate kiu kwanza akimaliza ndo tutajua

Nakwambia hayo madude ya kisasa hata ukiingiza kichwa chote na ukalitekenya na kutoa halidhuru, ila usijaribu kwa hawa wetu wa kienyeji utaisahau dunia.
 
Nakwambia hayo madude ya kisasa hata ukiingiza kichwa chote na ukalitekenya na kutoa halidhuru, ila usijaribu kwa hawa wetu wa kienyeji utaisahau dunia.

Aah wapi sidanganyikiii...!! hayawani ni hayawani tu hata atoke mwezini
 

Hii itakuwa photoshop, picha ya dogo iko nyuma sana. Pia iko too unreal to be true. Mamba ana kivuli chake hapo, kutokana na angle ya kivule cha mamba, na kivuli cha dogo kingekuwapo. kwa nini dogo hana kivuli hapo??? Picha ya dogo ilikatwa vizuri bila kivuli chake na kupachikwa hapo. Mamba ni mamba tuu, hasogelewi. Hii picha ya kuburudisha ila si ya kweli.
 
Back
Top Bottom