Our government should work for us, not againts us! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Our government should work for us, not againts us!

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Aug 29, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Baada ya kutupiwa changa kwa hotuba mbofumbofu iliyofanywa na Muungwana wiki iliyopita, wengi wameona kuwa vita imefika ukingoni na tayari kusalimu amri.

  Ukweli ni kuwa tulifanya kosa moja kubwa sana, kufikiri kuwa kuongelea ufisadi tuu, ndio njia pekee kuing'oa CCM au kuleta mabadiliko kwa Watanzania.

  KUpigia kelele ufisadi ni sawa na ni wajibu, lakini inabidi tubadilishe mbinu za vita.

  Wenzetu kwa hotuba ya Kikwete, maandamano yaliuyofuata na kauli za Kingunge juzi, zinaonyesha wazi kuwa kamwe kelele kuing'oa CCM kwa kutumia ufisadi hakutafanikia. Huko ni sawa na kauli za Upinzani kukimbilia Ikulu bila kujenga chama imara chenye sera zinazoeleweka.

  Katika hotuba yake jana kukubali kuwa mgombea wa urais kupitia chama cha Democrat hapa Marekani, Barack Obama alitoa maneno haya, ambayo nayanukuu na kuomba tuyafanye kuwa dira na changamoto ya mapambano mapya ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania.

  Tumesikia kauli mbovu za viongozi kujitukuza, kuwadharau na kuwapuuza Wananchi wameanzisha vita kati ya Serikali ambayo ni mali yetu na sis wenyewe wananchi.

  Inatupasa kubadilisha mbinu z kivita huku tukiendelea kuwapiga makonzi kuhusu ufisadi na uzembe.

  Tuanze kuelimisha umma wa Tanzania kuwa wasipumbazwe na changa la macho, kama kweli Serikali ya CCM inafanya kazi kwa manufaa ya Watanzania na si CCM pekee na maswahiba wao mafisadi, basi Serikali ifanye kazi kututumikia na si kutupiga vita!

  John Kennedy alitamka wakati alipopokea uraisi
  tujiulize swali hili na pia tuiulize CCM na Serikali yake!

  Wikiendi njema!
   
 2. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukiangalia kwa ndani kwa usemi huo jf kennedy utaona kwamba kile ambacho tunaewza kufa au kuifanyia serikali yetu ni kuishitaki kwa waio wapa dhamana pia sisi tuwashitaki wahusika wa epa.
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hivi ni vibaya sana.

  Serekali inajiamini sana kuwa wanaweza kufanya wanavyotaka. Wanajua waTz ukiwasumbua na kurudia kuwasumbua alafu ukawayumbisha ...wanaachana na wewe ...na kila mtu anaanza kijishughulikia kimya kimya ...bila hata makelele...kila mtu anarudi kwenye familia yake..

  hashughuliki tena na serekali...na hapo mafisadi wanakuwa na uhakika kuwa moto umepoa. Na wanahakika wameshinda.

  That is what they r palying with us.. That is the game!!!

  Toa vihutuba vya kijinga....buy time...

  Wavute mpaka ukingoni...

  They r sure ...hatuna ubavu wa kwenda nao.

  Nafikiri we should suprise them...

  Do what they never xpected..and do it very Hard.

  ...you know wht m talking.
   
Loading...