Our burdens

Our burdens

Wayne Rooney

Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Jamaa m1 alifika kwake na kumbeba mke wake na kuanza kuzunguka nae nyumba nzma,mkewe akamuuliza"leo mchungaj amefundsha upendo?
Mmewe akamjbu ametufundsha kuwa tunapaswa kubeba mizgo yetu...
 
Duh! Huyu jamaa atakuwa kasoma shule za st.............. Simalizii wenye shule wasinipopoa mawe
 
Hahahaaah!kwa hiyo mkewe ni mzigo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom