Our Brother Passed Away!

Asanteni, nafarijika sana na faraja kutoka kwenu! MUNGU AWAZIDISHIE MOYO WA HURUMA!
 
Reactions: BAK
Poleni sana. Pigo kubwa kuanzia familia mpaka waliotegemea utaalamu wake.
 
Poleni sana, Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi........ amen
 
pole sana,MUNGU awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
........pole sana, Bwana alitoa na ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
 
RIP Mwamdemu
 
Poleni sana mkuu,M.Mungu awape nguvu katika kipindi hki kigumu na ampumzishe kwa aman,amina
 
Poleni sana! Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 

OMG!!! MDemu huyu si ndo alikuwa waziri wa fedha wa serikali ya wanafunzi pale SUA? aaaahh, nimeumia sana sana...Pumzika kwa amani kamanda wangu MDemu nakukumbuka sana kipindi ile tunagoma wakati posho yetu inacheleweshwa na akina Dihenga na Bisheko....Tangulia Mdemu,,,lala kwa amani poti..
 
R.I.P Justin
muweni na moyo wa uvumilivu enyi ndugu wa marehemu
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake libarikiwe.
 
RIP Bro, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amina
 
Poleni sana kwa msiba, tunawaombea msafiri salama na mumpumzishe marehemu kwenye nyumba yake ya milele kwa rehema zote za Mwenyezi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…