Our Brother Passed Away!

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,472
Reaction score
16,177
Habari za siku kadhaa wanaJF wenzangu?
Kwa huzuni kubwa napenda kuwapa taarifa za kifo cha kaka yangu mpendwa Justine Mdemu kilichotokea huko Kigoma.
Marehemu kaka Justine alikuwa kasuru-kigoma kwa safari ya kikazi hakuwa anaumwa kabla, akiwa huko Kasuru yasemekana aliugua ghafla tangu saa 4 usiku ambapo saa 6 alikimbizwa hospitali lakini saa 10:45 ya tar 24/5 alifariki dunia!
Kwa wali-graduate SUA 1997 Coz ya Agro economics wanaweza kuwa walimfahamu maana ndio mwaka aliohitimu!
Usiku huu ndio tupo kwny safari tukitokea DSM kwnd kumpumzisha ndgu yetu hapo kesho J2, mazishi yatakayofanyika Mufindi Iringa!

Naomba kuwasilisha kwa maombi yenu!
Asanteni.
 
Poleni sana, Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amen...
 
Pole brother na wafiwa wote ndio maisha yalivyo, RIP Justine
 
R.I.P bro
Mungu awatangulie kwenye safari yenu
 
Poleni sana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Mkuu BB, Poleni sana mzee, tuko pamoja kwa sala,Mungu ailaze roho ya kaka yetu mahala pema peponi Ameni.
 
Poleni sana, Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi........ amen
 
Poleni sana kwa msiba mkubwa wa kaka yenu,Mwenyezi Mungu Awe mfariji wenu katika tukio hili.Amen
 
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja katika msiba huu, niwatakie safari njema....RIP brother
 
Bwana ametoa na ...... ametwaa.
Poleni sana.
Mola amlaze panapostahili.
 
Pole sana BB roho mtakatifu mfariji wetu akupe amani na faraja ipitayo ufahamu wa wanadamu, fikisha salamu zetu kwa ndugu wote Iringa. R.I.P our dear bro Justine!
 
RIP our Brother
Poleni wafiwa MUNGU awatie nguvu na kuwapa faraja
 
Pole sana BB na familia na marafiki.....Mungu amsamehe,ampokee na ampe amani ya milele. Safari njema,Mungu awatangulie na kuwafariji!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…