KING DUBU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 919
- 1,239
Toka serikali ilipotangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa masomo mbalimbali kwa wale wenye shahada na stashahada kupitia mtandao kwa kiunganishi http://196.43.65.187, kiunganishi hiki kinawasumbua sana waombaji. Muda mwingi ukijaribu kukitumia ili uombe au uhakiki basi huwa mtandao haupatikani.
Hali hii inaathiri sana waombaji na ni vyema wataalamu wa tehama wakawa makini kuhakikisha waombaji wanafanikiwa kuomba kwa wakati.
Hali hii inaathiri sana waombaji na ni vyema wataalamu wa tehama wakawa makini kuhakikisha waombaji wanafanikiwa kuomba kwa wakati.