Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 265
Tabia ya kupuuza ujumbe ni mbaya,Mgonjwa mmoja bubu alikuwa ICU,anapumulia gesi.Mchungaji akaja kumwombea akiwa anaomba gafla mgonjwa akachukuwa peni na karatasi akaandika ujumbe akampatia mchungaji.
Mchungaji akachukua kile kikaratasi na kukiweka mfukoni akaendelea na maombi,gafla mgonjwa akakata roho.Baada ya mazishi,mchungaji akasema nina ujumbe wa marehemu kabla hajafa.
Akatoa kwa mbwembwe akampati ndugu wa marehemu ili aisome iliandikwa hivi,''Umekanyaga mpira wa Oxygen nakosa hewa''Baada ya hapo unadhani ilikuwaje